msaada kwenye kompyuta

msaada kwenye kompyuta

yuppie boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
213
Reaction score
49
wanajamii naombeni msaada wenu kwenye kompyuta yangu, ninapoiwasha kompyuta inawaka fresh but inakaa dakika kama 3 na kutokea rangi ya blue na maneno yanayosema
STOP:c000021a {Fatal System Error}
The windows subsystem system process terminated unexpectly with a status of 0x=0000005 (0x7c911a5c 0x0052f36c).
The system has been shut down

Begining dump of memory
physical memory dump complete.
 
Habari, inaonekana kuna fault ya device drivers, jaribu kuondoa hardware yoyote uliyoiweka hivi karibuni.
Mfano unaweza kuwa umeweka tv card. jaribu kuiondoa na washa tena.
 
Habari, inaonekana kuna fault ya device drivers, jaribu kuondoa hardware yoyote uliyoiweka hivi karibuni.
Mfano unaweza kuwa umeweka tv card. jaribu kuiondoa na washa tena.

ok kaka ngoja ni try
 
Back
Top Bottom