kila nikiadd code kwenye cas wakati wa kufanya application message inakuja imeandikwa ivi ERROR!!, INVALID ENTRY, MAKE SURE YOU ADD THE CORRECT PROGRAM CODE AS IT IS WRITTEN FROM THE GUIDE BOOK lakini nimejitahid kuingiza kma zilivyo but the same issue arises