Internet kwa dola 3.0 kwa mwezi mzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Internet kwa dola 3.0 kwa mwezi mzima

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paje, May 20, 2012.

 1. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kuna software inakuwezesha kupata free internet ya basi la rangi ya kijani lakini two hours free. baada ya hapo inakubidi ulipie dola 3.0. malipo wanayokubali ni kutumia liberty reserve tu. kama una paypal account. inafaa lakini itakubidi ununue credit za liberty reserve za kiasi unachohitajia kwa kutumia account yako ya paypal. cha kufanya nenda kwenye website ya liberty reserve creat acount. hawa hawataki credit wala debit card. kuna njia chache sana za kuweka credit kwenye account ya liberty. moja wapo ni kutumia paypal. uzuri wake huwa hui link card yako. hivyo hamna yale mambo ya kuibiwa au kuchajiwa mara mbili au tatu kwa single purchase. ni kama nipe nikupe . ukinunua credit za hawa jamaa ni kama unanunua vipande vya gold, gold ikipanda kwenye soko la dunia na hela yako inapanda na ikishuka hela yako inashuka. nakushauri ununue credit ndogo tu kulingana na matumizi yako. nenda kwenye site ya hii vpn uicheki New Gui - SandwichVpn ukiitaka software idownload kutoka website yao au hapa........ http://dl.dropbox.com/u/47246564/SANDWICH%20LATEST%20INSTALLER/Setup3.6%28blue%29.exe
   
 2. Kaparatus

  Kaparatus Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ngoja nijaribu mkuu
   
 3. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Isije ikawa wizi wa mitandaoni!hayo mambo ya kutumia Paypal nayaogopa sana:)
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu hiyo dola 3 ni once au kila siku baada ya hayo masaa mawili..
   
 5. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  inakuwaje free mkuu! mbona inaonekana ni kama VPN tu ya kutembelea restricted web sites kwa zile inchi zilizobana baadhi ya sites ..?
   
Loading...