msaada..jinsi gani ya kuconnect remotely kwa kutumia internet? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada..jinsi gani ya kuconnect remotely kwa kutumia internet?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Skillseeker, May 20, 2012.

 1. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  habari wenu wanaJF,
  naombeni mnisaidie niweze kujua ni jinsi gani naweza kuconnect remotely computers zinazotumia windows7 ziweze kuwasiliana kwa kutumia internet...na pia mtu wa computer moja awe na uwezo wa kuona na ikiwezekana kuitumia desktop ya mwenzake..
   
Loading...