Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,283
- 2,590
Kwa hii Redmi hapa Wamepitliza Aiseeh
Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa ๐ฅ๐ฅ, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu.
Redmi K100 Pro Max 9,070mAh ๐ + 185Hz โก kwenye simu moja?! ๐ฅ๐ฑ inakuja ikiwa na battery kubwa sana, display ya 185Hz na 200MP camera! ๐ณ
kwa ufupi tu:
๐ฅ 9,070mAh Battery
โก 100W Fast Charging
๐ฑ 185Hz AMOLED Display
โ๏ธ Hadi 4,500 nits brightness
๐ธ 200MP Main Camera
๐ญ 50MP Periscope + 5ร Optical Zoom
๐ Snapdragon 8 Elite Gen 5
๐ Bose-tuned 2.1-channel speakers.
๐๐ถ๐ถ ๐๐ถ๐บ๐ ๐ถ๐บ๐ฒ๐ธ๐๐ท๐ฎ ๐ธ๐๐ฝ๐ถ๐ด๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ฝ๐ผ๐๐ฒ๐ฟ ๐ฏ๐ฎ๐ป๐ธ ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ ๐๐ฅ ๐จ๐ป๐ด๐ฒ๐ถ๐ป๐๐ป๐๐ฎ? ๐๐