Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

A new Windows means a new Windows Server. We look at what's new in Windows Server 2012. While Windows 8 gets much of the attention, it's not the only big change happening at Microsoft. Along...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauliza nipate sifa zake
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Napenda kujua kuhusu Software Engineering kwa hapa Tanzania, kwa upande wa soko kwa graduates wa course hii, makampuni unayoweza kufanya kazi na opportunities za kujiajiri unapomaliza. Naomba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
hali zenu wakuu, hivi inawezekana kufunga flash/usb kwa password. kama inawezekana unaifungaje? natanguliza shukrani
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata huduma. Nina simu (NOKIA E71) nimeletewa toka Australia lakini imekuwa locked kwenye mtandao fulani wa simu wa huko,ni mpya...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
baada ya ku-aquire knowledge ya wifi nimewaletea ujanja wa ku-access free wifi kama muendelezo wa thread iliyopita kuna software inaitwa EASY WIFI RADAR ndo kila ki2 4 free wifi LKN tusaidiane...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninatumia simu aina ya Nokia Asha 200 lakini nikijaribu ku submit reply ujumbe niliouweka hauonekani.Lakini nireply post ya mtu ujumbe unaonekana.Hiyo submit reply inakuwa kwa chini mwisho...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Nimejaribu kutumia mail-merge kutuma ujumbe kwa multi-recepiet na kunipeleka kwenye microsoft outlook and i'm not very aware of this coz nimeshindwa kuendelea,can you assist accordingly...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Folder Protection Without Software Most of us know the basic features of Windows XP. Having one of the most stable operating systems we never mind having a look at what is in stock for us and...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Now a days most viruses plan to make the use of USB a nuisance. The reason for my writing here is for the general public in all so that the people can use their USB device without having to infect...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu,naomba mnisaidie kwa kuniambia ni jinsi gani naweza nikafix sehemu ya kusomea sim card ya Samsung Galaxy s3 kwani kuna pini zimechomoka au mnaweza kuniambia ni wapi wanatengeneza.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
watu wengi wamekuwa na GPS katika magari yao lakini je ni kwa jinsi gani unaweza ukadiactvate GPS hiyo na gari likafanya mambo harafu ukitaka unairudishia tena? Msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello guys,my mysql server has refused to start and everytime i try to connect to,i got the msg ''Can't connect to the mysql server'' with the ERROR CODE(10061). What if the problem is maybe,has...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Natafuta fundi wa mashine ya kufua aina ya westpoint. Imezima gafra na haitaki kufunguka mlango wakati ndani kuna nguo naomba msaada kwa yeyote mwenye mawasiliano na jamaa wa westpoint Dar maana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada nina blackbery curve 8520 nawasha inasema enter network MEP code(0 left) naomba kupata solution ya hii problem
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau laptop yangu haichezeshi picha za youtube,hivyo kunifanya kushusha clips mbalimbali kutoka Youtube,nimedownload Adobe flash player na kuinstall lakini wapi,naomba msaada kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninatumia simu aina ya Nokia Asha 200 lakini nikijaribu ku submit reply ujumbe niliouweka hauonekani.Lakini nireply post ya mtu ujumbe unaonekana.Hiyo submit reply inakuwa kwa chini mwisho...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Wakuu naomba msaada ni jinsi gani ninaweza kurestore data za kwenye external HD. Nilitumia External yangu kwenye PC ya rafiki yangu ila baada ya kuitoa ni kuwa file zote zinaonekana kuwa ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, nina passion ya kujifunza programming, lakini tatizo ni kwamba sijui nianzie wapi, in short computer najua basics zake tu ukizingatia nimesoma biashara kuanzia form 3 mpaka...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
ipod yangu imeharibika. Nimeifungua nikatoa HDD yake. Hivi kuna anayejua jinsi ya kuibadili ikawa external ili niitumie kwenye computer maana ina 160GB naona nazipoteza hivi hivi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…