toghocho
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 1,172
- 198
Heshima mbele wakuu, nina passion ya kujifunza programming, lakini tatizo ni kwamba sijui nianzie wapi, in short computer najua basics zake tu ukizingatia nimesoma biashara kuanzia form 3 mpaka degree, lakini najua hiyo hainizuilii kujifunza programming na vitu vingine, naombeni msaada wenu natajkiwa nianzie wapi ili niweze kujifunza na kumaster on my own bile kuhitaji kwenda chuo chochote.