je kuna njia ya kubadili HDD ya ipod nano kuwa external hdd

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
ipod yangu imeharibika. Nimeifungua nikatoa HDD yake. Hivi kuna anayejua jinsi ya kuibadili ikawa external ili niitumie kwenye computer maana ina 160GB naona nazipoteza hivi hivi
 
kama cable yake ukichomeka kwenye computer inasoma,irudishie tu uitumie kama Mass Memory device
 
sina ujuzi na ipod but kama hiyo HDD ipo the same na hizi za laptop waweza nunua sata/ide converter au external case.
 
haiwezi soma kwakuwa ipod yenyewe kimeo kabisa na haisomi ndiyo maana nataka HDD yake niigeuze iwe external. Njia zake c kama za HDD ya laptop au desktop
 
haiwezi soma kwakuwa ipod yenyewe kimeo kabisa na haisomi ndiyo maana nataka HDD yake niigeuze iwe external. Njia zake c kama za HDD ya laptop au desktop

Hapo kwenye njia ziangalie zipoje then nenda kwa fundi akuekee njia ya kichina ile kama ya psp just ajue kucheza nazo
 
Back
Top Bottom