Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

jamani wadau naombeni msaada. mimi natumia sumsung chat GT-C3222 kila nikidownload software kama vile operamin inaniambia invalid downloaded jar tafadhali nisaidieni.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba kwa yeyote mwenye link ya website ninapoweza pata nyimbo za Efraim Geleketi (Gospel) mfano ''Kwa mkono wako'' na ''Uniguse bwana'' naomba anisaidie tafadhali. Hulkshare nimeuona but upo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Skype - Free worldwide calls for a month We'd like to give you unlimited¹ calling free for an entire month². That means, in addition to making free Skype to Skype calls, you can also call offline...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu wa jamvi. nikwamba nimenunu modem mpya kila nikiconect inatoa maneno kama haya ( the computer temineted connection coz pot used were closed)
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Nina tatizo moja wadau. Nina simu yangu NokiaN95 8GB lakini chakushangaza haiwezi kuingia internet, nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja Vodacom ili waweze kunitumia configeration lakini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania unakuta bei ni mpaka mara 3 ya Kenya, je kwanini inakuwa ghali hivi kupiga simu kutoka n'gambo? NIni kinasababisha na serikari ifanye nini? Naomba maoni yenu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jamani haiwezekani kupata domain ya .tz? kama wenzetu wa .fr, .us, .ru, maana mie sipendi hii .co.tz, sio kila mtu anataka domain ana kampuni (i guess ndo maana .co baada ya .tz) nataka smthn...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kama unaongelea kampuni ambayo haifatilii patent zake ni nokia, nokia wamekua wapole watu wanacopy vitu vyao ila wananyamaza kimya. Nokia anaown patent zaidi ya 10,000 Wa kwanza alikua apple...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kuuliza waungwana, nimeinstal AVAST jamaa akaniingizia Key, inaniambia imekuwa Registered na mwisho wake ni 2038 hivi inawezekana kweli maana mpaka mwaka huo!!!!
1 Reactions
16 Replies
2K Views
wakuu natumia sumsung galaxy pocket nime install Android Window 7 via google play,inapiga mzigo fresh ila tatizo kwenye screen kuna maandishi yanasema UNREGISTERED,kijiregista ina cost ankara so...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Kama kuna mtu anayo anijuze ninunue
0 Reactions
0 Replies
746 Views
WAKUU habari gani? hivi ni website gani naweza kupata tv series hasa hii ya la revancha? any advice? nitashukuru sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Adobe Reader ya Nokia E61i imegoma kufungua mafaili yaliyihifadhiwa kwenye simu na memory card. Hili tatizo limeanza ghafla siku tatu zilizopita, nimenifanya kushindwa kusoma taarifa muhimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Wana ndugu habari! Photocopy machine imehariba inatoa erro ya ' restart the machine, if problem persists call service rep. **E000A261-0000' ni aina y canon 2420. So naomba msaada
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jamvi naomba msaada kwa wanaofahamu mtu ukitaka kujitoa face book.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES UNLOCKING ANY GSM PHONES IPHONES NOKIA SAMSUNG ALCATEL BLACKBERRY UNLOCKING ANY GSM MODEM ZTE HUAWEI VODAFONE...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Wana wa jf habari za kazi natumai hamjambo.Tafadhalini naombeni msaada wenu modem yangu ya voda inagoma kuwa installed kila ninapojaribu kuinstall ujumbe huu unatokea INSTALLSHIELD Kisha...
0 Reactions
2 Replies
870 Views
naomba msaada wenu kama kuna mtu mwenye link itayoniwezesha kudownload microsoft wors 2007 for free anipe hapa jamani niishushe
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Kwa wazoefu wa smart phone naomba mnifahamishe ni smart phone ipi yenye betri imara kwa kuwa nyingi zimekuwa zikiwahi kuishiwa betri hasa ukitumia internet. Nitashukuru kama nitafamishwa na bei.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
wanandugu za weekend. naomba mnisaidie kitu hiki. nataka kuwa na simple database or excel sheet ambayo nitakuwa naweka kumbukumbu ya manununuzi na mauzo ya cosmetic produts. parameters...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom