Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Naombeni msaada wenu, nimefungua Blog yangu inayohusu maswala ya elimu na biashara. Swali langu ni jinsi ya kitufe cha komenti wakati mtumiaji anatumia simu, nimejaribu nikakuta inanionyesha pale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
eti kwa 250 utaweza kudownload miziki,updates,habari za michezo mbalimbali kifurushi chenyewe unapewa Mb5.wakati unakuta nyimbo moja ina mb10. Wadau hii imekaaje?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu hii kitu inawezekana kweli manake nimetafuta sijafanikiwa kuiona mwenye maujuzi anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
949 Views
habari wakuu jf ninatafuta samsung galaxy 2 ilitumika ya bei nzuri kwa yoyote mwenyenayo anijuze 0655200004 natanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni msaada laptop yangu aina ya COMPAQ presario CQ 50.. port yake ya HDMI haifanyi kazi ghafla tu baada ya kubadili window toka window 7 ultimate kwenda window 7. Nimejaribu kurudisha window...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mimi nina kimbembe Kuna doc ya PDF ambayo nimeweza kuiconvert into Word sasa kwa sababu ilikuwa ni scanned doc nataka niweze kuiedit in Ms Word Nimekwamba nishadownload OCR softwares na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
10 great inventors who helped change our life Thomas Edison - the lightbulb and many more. One of the most prolific inventors of all time The Wright Brothers - for making the first flight...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Sijui inaweza kuwa ni setting au ndivyo ilivyo yaani unapo click kufungua post inafungukia katika post ya chini kama ukurusa ulikuwa na post 10 basi inaanza kuonekana ile post ya 10 na ili uende...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
msaada toka kwa wataalam wa mambo jaman mashine yangu tajwa juu hapo inapiga copy upande mmoja wa karatasi vizur ukiigeuza karatas hyo upande wa pili inafifia naomba msaada kutatua tatizo hlo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
How to install Android 4.0 Ice Cream Sandwich on HTC HD2? Yes, I am sure that you will ask this question if you have HTC HD2 with older Android version like 2.3 Gingerbread. Basically, the Android...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vitabu vya namna ya ufugaji samaki,kuanzia uchimbaji bwawa,ulishaji,urutubishaji bwawa mpaka namna ya uvuaji,vitabu hivi nina vihitaji hasa vya kiswahili, nasikia kuna chuo kikuu kimoja hapa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wakuu natanguliza shukrani kwanza... Katika jitihada za ujasiriamali nimeweza kutengeneza manual kwa ajiri ya wanafunzi wa college. Tatizo limekuja kwenye kuset page kisha kuprint. Nataka...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu heshima mbele, naomba msaada wa key za hiyo soft ya kuedit video, tafadhali mwenye nazo za vasion 15 au 17 anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
879 Views
As we all know, free stuff aren't always the best which also boils down to the fact that if you want to learn a concept online, you must do it from multiple sources just to get it right. My...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Tafadhalini nisaidieni,sijuh ni mimi tu au na wengine mnapata shida ya kupata STAR TV,TBC,na CHANNEL TEN kwenye satellite dish siku hizi? Nimejaribu kuset upya dish,na mara zote nimeambulia kupata...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kwa yeyote mwenye key au licence ya avast 7 naomba anisaidie pleaseee
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Wadau naomba msaada kwa mwenye key ya hii software. Thanks
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msaada mtu mwenye software ya kuflash simu ya LG
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina software ya kijamii ninataka kuapgred hata kama sina visacard mwenye utaalamu wa hili anisaidie tafadhali.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jamvi la Jf naombeni kufahamishwa juu hii kitu ya kudevop zinazoitwa android je ni za zinafanyika vp? ziko kama java na C+ au zenyewe kitu tofauti kabisa?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom