Msaada kubadilisha AMD Processer kwenye Asus Mini Laptop


Fakhi Jumaa

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
239
Points
195
Fakhi Jumaa

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
239 195
Wakuu habari ya Jumapili? Nina Asus mini laptop ambayo ninataka niwe naitumia kuangalizia muvi kwenye TV yangu,ila niki play muvi Muvi zenye High Resolution (kama Blu Ray Kwa kutumia Vlc ,KMP au player yoyote) inakuwa ina stuck,nimegundua kuwa Processor memory inakuwa inazidi 100%,nilijaribu kupunguza baadhi ya program zinazotumia memory hata kama sijazifungua lakini bado tatizo liko palepale,sasa nataka kubadili Processor ili niweke yenye uwezo mkubwa kidogo kwani iliyopo(AMD C-60) ni 1GHz, Naomba kama kuna ushauri zaidi au mtaalamu wa hard ware nimpe hii shughuli anifanyie.NATANGULIZA SHUKRANI.
 
Fakhi Jumaa

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
239
Points
195
Fakhi Jumaa

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
239 195
kwa kuongezea wakuu Motherboard yake Asus Tek Inc BGA,Serial No. EeePC-) 0123456789,SKU NO.1225B, Bios Version :206 na kama kuna detail yoyote natakiwa kuiongeza hapa ili kurahisisha uelewa tafadhali niambie niiweke wakuu
 
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Messages
490
Points
195
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2011
490 195
kwanini usiuze hiyo mini,ukatafuta laptop yenye nguvu probably i3 kuendelea,kubadili processor inaweza kukucost,mismatching,ukajikuta upo pale pale.
 
Fakhi Jumaa

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
239
Points
195
Fakhi Jumaa

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
239 195
kwanini usiuze hiyo mini,ukatafuta laptop yenye nguvu probably i3 kuendelea,kubadili processor inaweza kukucost,mismatching,ukajikuta upo pale pale.
Mkuu nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi pia
 
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Messages
5,309
Points
2,000
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2008
5,309 2,000
Kwa kifupi hilo haliwezekani, netbooks/laptops kuupgarade CPU sio rahisi.

C-60 ina uwezo wa kucheza HD videos bila tatizo, ila kuna baadhi ya formats haziko supported maana inatumia hardware acceleration kucheza HD videos haitatumia CPU, so tafuta videos kwenye format nyingine au convert video zako katika format iliyo supported unaweza kudownload HandBrake au Format Factory kuconvert videos.

Ukiweka model ya laptop yako tutaweza kujua format inazosupport. Ila nakushauri ujaribu kucheza MPEG2, H.264, VC-1,DivX, Xvid au MPEG4 Part 2.

K
wenye VLC nenda Tools > Codec Information, itakwambia codec ya video.
 
leh

leh

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Messages
848
Points
225
leh

leh

JF-Expert Member
Joined May 30, 2012
848 225
kubadilisha processor za laptops ni expensive kuliko ku upgrade kwa kununua mpya. na bado uwezekano wa kupata processor za laptops dukani ni ngumu. pia most processors za laptops zipo soldered into the mother board so kubadilisha ni impossible. mother board ya mini haitakupa a varied option, na bado kuna other things to factor kama heat. nachojaribu kusema ni kuwa hamna haja ya kujaribu kubadilisha processor. iuze jichange kidogo, uvute a better laptop. na am assuming unatumia a digital Tv, mi ningekushauri ununue desktop ya duo core, bei hapa Dar ni around 200k, na utaweza kuunganisha na hiyo tv upate uwezo wa hizo movies
 

Forum statistics

Threads 1,283,904
Members 493,869
Posts 30,805,639
Top