Mvuke wa chooni unazalisha umeme?

Mvuke wa chooni unazalisha umeme?

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Hii nimewahi kuisikia zamani sana kuwa umeme unaotokana na choo unawezekana kwa kujaza majivu ndani ya mfuko wa rambo na ndani ya mfuko unakuwa umefunga jiwe kwa copper waya ambayo ncha yake itatumika kama "L" na waya mwinine unautumbukiza ktk kinyesi pia ncha yake itatumika kama "N" hili jambo bila shaka sio geni masikioni kwetu, je hii kitu ni kweli ipo?? Kama ipo naomba tuzue mjadala wa kwanini tanesco wasitumie njia hii ili kupunguza mzigo katika mkondo.
 
sadly no such thing is possible. Umeme unaowezwa kuzalishwa na kinyesi ni wa gas(kinyesi na other decaying organic material hua zinatoa METHANE gas pa1 na gas zingine zingine) that methane gas is combustable so gas inapitishwa though a series of chemical baths kuondoa gas zingine ili ibaki Methane ikibaki inatumika kuchemsha maji afu mvuke unaotoka ndo unaotumika kusukuma generator la kuzalisha umeme. Unayoongelea hapo juu using wires ni electrolytic process, ambapo inabidi kuwe na Acid afu hizo nyaya(made by different metals kwa kuangalia series flan called electrochemichal series so as to maximise power). Na mbaya umeme wa hapo ni DC well sina haja ya kuelezea its dissadvantages over AC produced by the generetor...
 
Una idea hapo, ila nadhani unaongelea biogas. Inawezekana kabisa lakini sio kwa kutumia mfuko wa rambo na viwaya. Tafuta wataalamu wakuelekeze. Ni kitu cha kuvutia sana, unatumia kinyesi chako na cha wanyama kuepuka kadhia ya vyanesco.
 
unaweza pata a bit of methane gas ukiweka kinyesi cha ng'ombe kwenye galon la lt 5(small scale 2, afu ni cha ng'ombe cause its methane content is higher than human's, and hey if you wanna carry human sht suit ur self. Not a gud idea) so ukiweka in dat galon afu pipe ikatoka juu ikaingia kwa another galon half filled with water(pipe ikawa submerged ili some soluble gases ziwe absolved in water) then pipe ya 3 ikatoka hapo kuingia kwenye some sort of storage place(mind u methane ina rise so unaikusanya upside down). I did this in highschool project ilikua poa gets to demonstrate how everything works. Ila ni more Efficient ku2mia kupikia than producing electricity with it
 
asante sana dada,ila hapo tu kwenye vyanesco nimecheka mmo.
 
nahisi kuna mengi sana unayoyafahamu kuhusu huu umeme gesi. Kwangu mie hata huo wa DC ni poa tu japo kwa mwanga. Sasa basi embu nielekeze hatu kwa hatua ili ninde na vitendo. Vyanesco kama alivyoitaja king'ast inanifanya nakuwa na hasira sana hasa ninapo kuwa naitegemea kwa kazi zangu..kwa kuanzia tuanze na mahitaji.
 
Biogas typically refers to a gas produced by breakdown of organic matter in the absence of oxygen. Organic waste such as dead plant and animal material, animal feces, and kitchen waste can be converted into a gaseous fuel called biogas. Biogas originates from biogenic material and is a type of bio fuel.
Biogas is produced by the anaerobic digestion or fermentation of biodegradable materials such as biomass, manure, sewage, municipal waste, green waste, plant material, and crops.[SUP][1][/SUP] Biogas comprises primarily methane (CH[SUB]4[/SUB]) and carbon dioxide (CO[SUB]2[/SUB]) and may have small amounts of hydrogen sulphide (H[SUB]2[/SUB]S), moisture and siloxanes.

The gases methane comes from Kun Joong Kims asshole and when he farts he say shibaal, hydrogen, and carbon monoxide (CO) can be combusted or oxidized with oxygen. This energy release allows biogas to be used as a fuel. Biogas can be used as a fuel in any country for any heating purpose, such as cooking. It can also be used in anaerobic digesters where it is typically used in a gas engine to convert the energy in the gas into electricity and heat.[SUP][2][/SUP] Biogas can be compressed, much like natural gas, and used to power motor vehicles. In the UK, for example, biogas is estimated to have the potential to replace around 17% of vehicle fuel.[SUP][3][/SUP] Biogas is a renewable fuel, so it qualifies for renewable energy subsidies in some parts of the world. Biogas can also be cleaned and upgraded to natural gas standards when it becomes bio methane.

kama ni muangaliaji mzuri wa tbc hiikitu ili onyeshwa ktk kijiji flan hapa tanzaniaaa ila wanatubia biogas ya ng'ombe...

ilikua inaendana na hii picha hapaa hii picha
IndianBioM2_468x352.jpg

wao walitumia hii kwenye majiko ya kupikia na kaz nyngne kama mwanga na nk. ila
pitia blog hii ina maelezo kiassssssssssss http://bio-gas-plant.blogspot.com/2011/06/history-of-biogas-in-tanzania.html

...........................

Wikipedia, the free encyclopedia
 
aisee!nurbet umenifungua macho,
 
sadly no such thing is possible. Umeme unaowezwa kuzalishwa na kinyesi ni wa gas(kinyesi na other decaying organic material hua zinatoa METHANE gas pa1 na gas zingine zingine) that methane gas is combustable so gas inapitishwa though a series of chemical baths kuondoa gas zingine ili ibaki Methane ikibaki inatumika kuchemsha maji afu mvuke unaotoka ndo unaotumika kusukuma generator la kuzalisha umeme. Unayoongelea hapo juu using wires ni electrolytic process, ambapo inabidi kuwe na Acid afu hizo nyaya(made by different metals kwa kuangalia series flan called electrochemichal series so as to maximise power). Na mbaya umeme wa hapo ni DC well sina haja ya kuelezea its dissadvantages over AC produced by the generetor...
Bora umetoa maelekezo sahihi kuupinga uongo na ignorance
 
Hii nimewahi kuisikia zamani sana kuwa umeme unaotokana na choo unawezekana kwa kujaza majivu ndani ya mfuko wa rambo na ndani ya mfuko unakuwa umefunga jiwe kwa copper waya ambayo ncha yake itatumika kama "L" na waya mwinine unautumbukiza ktk kinyesi pia ncha yake itatumika kama "N" hili jambo bila shaka sio geni masikioni kwetu, je hii kitu ni kweli ipo?? Kama ipo naomba tuzue mjadala wa kwanini tanesco wasitumie njia hii ili kupunguza mzigo katika mkondo.

Tatizo letu wabongo ndiyo hili. Yaani hapa ulitakiwa ujaribu hiyo theory halafu hapa uje na findings zako ili wengine tuweke inputs zetu. Okay, i will be back after researching... Ahsante kwa theory though
 
Au kwa lugha rahisi fikiria mfumo wa dynamo ya baiskeli ambayo inawasha taa kwa kuzungushwa na tairi ya baiskeli. Ili umeme upatikane ni lazima chombo kizungushwe kwa namna yoyote au kwa kutumia tairi, mkono, au maji yaendayo kasi au upepo au mvuke uendao kasi sana boilers huchemsha maji. maji yakichemka sana hutoa mvuke ambao unapitishwa ktk mambomba maalumu kuelekezwa kuliko dymo ndogo au kubwa kulingana na matumizi ya umeme.

Ukiacha umeme wa maji kama wa mtera au kidatu, kuna umeme wa upepo. na kuna umeme wa maji kutoa mvuke nao unapatikana kutoka vyanzo vya Makaa ya mawe. Nyuklia. Vinyesi. Uchafu wa katani vyoto hutumia nishati ambayo itachemsha kwanza maji na baadae maji kutoa mvuke na baadae mvuke kupitia mabomba maalum kuzungusha motor au mtambo wa kufua umeme. Zaidi ya hapo kuna umeme wa radi nk
 
Back
Top Bottom