Watu wengi wamekuwa wakiamini kuwa Fisi (Spotted Hyaena) ni Huntha (kiumbe chenye mifumo yote ya uzazi wa kike na kiume). Ukweli ni kwamba mnyama huyu siyo Huntha (hermaphrodite) bali maumbile yake ya mifumo ya uzazi zimefanana (Penis Vs Clitory/vagina, scrotal sac/testicles Vs Vaginal labia). Clitory/pseudopenis a.k.a kinembe kimerefuka na kufanana kabisa na penis na inafanya shughuli muhimu km vile kuzaa, kujamiana na kukojoa. Tofauti ya Penis na Pseudopenis ni kidogo sn ya dume kwenye ncha kidogo imechongoka while ya jike some how blunt. Jike hana kabisa ile external opening (vagina). Chuchu za jike ni kubwa kuliko za dume hasa wakati wa kunyonyesha na wakati wa mimba. Kwa body size vile vile jike ni mkubwa kuliko dume. Pia jike ni shari kuliko dume. Mwenye uwelewa zaidi atuelimishe. Karibuni