naomba ushauri wa kununua tv............. ninunue aina gani ,,,,,,zaidi naju tu flat screen ila sijui nichukue ya aina gani na yenye ubora gani cose cjui sana kuhusiana na mabo hayo
Inategemea na budget yako na uko loyal na brand gani, na kama unataka additional features kama 3D n.k.. Personally I'd recommend Samsung UN55ES8000 55-Inch 1080p 240Hz 3D Slim LED HDTV (Silver)
ila sijui unapendelea inch ngapi.
Nenda CNET.COM utapata reviews huko.
Kila la heri
![]()
huyu mtu mnahangaika kumuuliza maswali kupoteza muda wenu. Yeye kitu cha kwanza aseme/angesema kuwa ana bei gani mfukoni? Full stop.
Inategemea na budget yako na uko loyal na brand gani, na kama unataka additional features kama 3D n.k.. Personally I'd recommend Samsung UN55ES8000 55-Inch 1080p 240Hz 3D Slim LED HDTV (Silver)
ila sijui unapendelea inch ngapi.
Nenda CNET.COM utapata reviews huko.
Kila la heri
![]()
asanteni nimenunua hisense