Msaada, iOS Developers

SamJet

Senior Member
Jul 22, 2009
163
195
Wadau, naomba msaada wa jinsi ya kudevelope iOS App kwa kutumia windows PC.

Sina experience na hii k2 ya Apps so msaada wako ntauappreciate
 

Nyasiro

Verified Member
Feb 20, 2012
1,199
2,000
Wadau, naomba msaada wa jinsi ya kudevelope iOS App kwa kutumia windows PC.

Sina experience na hii k2 ya Apps so msaada wako ntauappreciate
iOS naweza kusema ni platform ya kichoyo hata kama ukitengeneza app katika Windows PC bado utahitaji Mac kwa ajili ya ku-compile xcode. Pia utahitaji Apple Developers account $99/year kama utataka apps zake ziwe kwenye iTunes store. Enhee na iDevice kama iPhone, iPod, iPad kwa ajili ya kufanya testing.
 

Nyasiro

Verified Member
Feb 20, 2012
1,199
2,000
Tuseme zote ninazo, nitaanza wapi na vp
xcode huwa inakuja na mac so chakufanya kama una Mac yako fungua xcode anza kufanya mambo. xcode ina UI nzuri na unaweza kufanya simulation na testing kupitia hiyo Mac yako.

usisahau kupitia hapa: www.developer.apple.com hapo kuna watata wakutosha na documentation nyingi sana.

mimi sio mtaalamu wa iOS development ila one day ntakuonesha njia rahisi ya kutengeneza iOS apps bila kutumia xcode!!!!!

nice coding
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,297
2,000
Kama walivyosema watu inabidi uwe na mac environment kuweza ku compile ios app. Unaweza ukainstall mac kwenye pc ya kawaida hii inaitwa hackingtosh na inahitaji utafiti na uvumilivu sana, pia unaweza kuinstall mac ndani ya windows kwa kutumia virtual environment kama vmware. Zaidi ya hapo unahitaji kulipa $99 kwa mwaka hata kuinstall hiyo app kwenye simu yako mwenyewe, hili pia linakwepeke kwa jailbreaking na makaratee mengine ila ni shida.
 
Top Bottom