Thanks to Torrents Im now running on Windows 8 and Office 2013 Fully Activated

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,017
Reaction score
1,154
Isinge kuwa torrent hizi latest mamboz tungepata wapi? Maana hata ukihitaji za kununua hata madukani hazipo! Pale TAZARA mataa jamaa wameweka bango la kuadivatise Windows 7
Thanks torrents and Thanks Vodacom Internet wajanja
 
Mkuu hebu tupe sifa zake ili nasi tujipange!!
 
Activation key umepata wapi? Maana mimi nikidownload kwa hiyo torrents napata software tu bila activation code. Hebu nipe maujanja kidogo. Kama hutaki kumwaga hapa, basi hata kwenye pm tu mkuu.
 
Torrents unaangalia zile zenye activation, angalia software yenye activation, soma comments za wachangiaji pale bottom watakuambia kama zinafanyakazi au hazifanyi kazi then unaweza kuanza kudownlod
 
Isinge kuwa torrent hizi latest mamboz tungepata wapi? Maana hata ukihitaji za kununua hata madukani hazipo! Pale TAZARA mataa jamaa wameweka bango la kuadivatise Windows 7
Thanks torrents and Thanks Vodacom Internet wajanja

mkuu naomba unisaidie hizo zako mi nshashindwa kudownload kabisa hiyo Win 8 yan haileti matumaini ya kumaliza, ila office imekuli kasheshe ni kwenye kuactivate. Ngoja nku-PM
 
Capture.PNG
Kitu inapiga mzigo kama kawa
 
View attachment 70275
Kitu inapiga mzigo kama kawa

Una 2gb RAM lakini mashine yako inatumia only 1.89gb of RAM kwasababu umeInstall 32-bit operating system kwenye x64-based processor. Next time kama hutajali ukiInstall windows ni bora ukaInstall 64-bit operating system ili RAM yako yote itumike. Hapo umeharibu 110MB of RAM hazitumiki kabisaaaaa.
 
Thanks for the IT.COM
I will work on that
 
Isinge kuwa torrent hizi latest mamboz tungepata wapi? Maana hata ukihitaji za kununua hata madukani hazipo! Pale TAZARA mataa jamaa wameweka bango la kuadivatise Windows 7
Thanks torrents and Thanks Vodacom Internet wajanja

Kiukweli hata mimi nimeikubali, ni very interesting. Ila mdau uwe makini maana hawa jamaa wakigundua windows 8 sio genuine basi tarajia matatizo matupu kwenye pc yako. Mimi nime-upgrade from windows 7 to windows 8 online legally(nimelipia) at slightily affordable cost. Kuna hatua kadhaa za kufuata ili zoezi liwe successfully ikiwa ni pamoja na kuhakikisha unafanya hii exercise kutoka mojawapo ya nchi ambazo microsoft wameruhusu online upgrade. Kwahiyo kwa hapa bongo ili ufanye hii kitu tumia tunnel softwares.
 
wewe umetumia tunnel software ipi manake na mimi nlitaka kufanya hii kitu ikanimbia nchi yangu haiko supported.....!!!!!!
 
Kiukweli hata mimi nimeikubali, ni very interesting. Ila mdau uwe makini maana hawa jamaa wakigundua windows 8 sio genuine basi tarajia matatizo matupu kwenye pc yako. Mimi nime-upgrade from windows 7 to windows 8 online legally(nimelipia) at slightily affordable cost. Kuna hatua kadhaa za kufuata ili zoezi liwe successfully ikiwa ni pamoja na kuhakikisha unafanya hii exercise kutoka mojawapo ya nchi ambazo microsoft wameruhusu online upgrade. Kwahiyo kwa hapa bongo ili ufanye hii kitu tumia tunnel softwares.

there will always be a hack or crack to bypass copy protection and activation procedures

​
 
Nimeanza kutumia pirated software tangu natambaa! That is why pirate bay is there and they know it is there
 
Back
Top Bottom