Naomba katika masuala ya editing music


baina

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
221
Points
0
baina

baina

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
221 0
Jamani sijui ndo maana naomba msaada. Mm ni mpenzi wa kwaya au niseme nyimbo za dini, na nachohitaji ni jinsi ya kuziedit nyimbo zangu such niondoe maneno na kubakiza instruments tu. Napenda sana music instruments kuzisikiliza niwapo ndani. Je naweza pata shule ya jinsi ya kufanikiwa kwa hili? Ninahitaji kuwa na soft. Ipi na je naweza pata hata tuitorials zake? Hata hivyo yote kwa yote mwenye ujuzi anijuze. Nashukuru.
 

Forum statistics

Threads 1,284,750
Members 494,236
Posts 30,838,738
Top