Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Akili ya bandia (AI) ni mwelekeo wa teknolojia ambao unalenga kuunda kompyuta na programu zinazoweza kufanya kazi ambazo kwa kawaida zinahitaji uwezo wa akili ya binadamu. Lengo kuu la AI ni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za Muda huu wa ungwana... Naomba ushauri juu ya VPN ya kulipia kati ya Your freedom na Droid VPN ipi ni nzuri zaid kulipia? Pia kama unafahamu VPN nyingine nayoweza kutumia tofauti na hizi...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Specifications za laptop ni kama zifuatazo Model: HP ELITEBOOK 830 G5 PROCESSOR TYPE: INTEL CORE i5 8350U 1.9 ghz up to 3.6ghz RAM: 8GB DDR4...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Microsoft 365 Copilot inachanganya nguvu ya mifumo mikubwa ya lugha (LLM), yaani large language models na data zako kwenye Microsoft Graph na programu za Microsoft 365 ili kugeuza maneno yako kuwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Tumeama toka Zuku, tukaingia Azam Tv jana, sasa tumekutana na Hii message kwenye screen. Inaonesha channel moja tu ile ya matangazo ya tv yao ambayo ata ukitoa card yenyewe inaendelea. Tatizo...
0 Reactions
8 Replies
28K Views
Kwanza niipongeze serikali kwa kutoa vishikwambi kwa walimu, Kuna ufanisi na urahisi Fulani wa kazi umeongezeka katika shughuli za kujifunza na ufundishaji.. mpaka Sasa nimekutana na zaidi ya...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nilikuwa natumia WhatApp GB ghafla ikaexpire nikadownload upya nikiunga inaniandikia account not verified nimetuma na picha hapo chini jinsi inavyokuwa.
1 Reactions
5 Replies
856 Views
Naomba kujua wanna tech na wachumi, hivi Kuna masilahi gani Serikali inapata raia wake tunapotumia vpn au tunaiga tu. Mna all adult sites blocked afu imekua kero kuwasha vpn, kuna muda ina...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello I.T fans.. naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula) hivi sababu ni zipi hasa? Halafu bado wengine...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habarini za sahizi? Naomba kwa anaefahamu anielekeze juu ya ubora wa HP ELITEBOOK 840 G3 na HP PROBOOK 450 G4 Ni kwa ajili ya Mwanafunzi wa ICT Msaada tafadhali.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sina mengi ya kuandika, msaada kwenye tuta hizi simu zengine basi tu
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari wana jukwa!!! Leo nnimepakua app ya NMB Mkononi kwenye simu yangu ya Android, Lakini kila nikijaribu kujisajili naletewa maneno haya kwenye screen.. Je, Shida itakua nini hapo? Nimeamua...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Leo nilikua na brother tumetafuta sana azam king’amuzi tumefeli kupata dish lakin zipo antenna. Tumezunguka sana mpaka tukaenda kariakoo tukakutana na mawakala wa azam wanakwambia dish unapata kwa...
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo. Ikishakua kwa baadae nitafungua studio Nahitaji...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako. Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi Ingia kwenye...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naombakujua kifaa tajwa hapo juu naweza pata wap kwa hapa Dsm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Muda umepita sasa toka vodacom na Tigo walipotangaza upatikanaji wa 5G kwa mtandao wao. Kwangu sijapata kuona kabisa katika simu nilizotumia network kupanda kwenda kwenye 5G. Nimeangalia band...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo mbali na TV nikataka kuangalia azam tv kupitia azam tv max app. Nimeambiwa smart card no yangu kuna mtu tayari anatumia. Sasa nawezaje kusitisha ili nitumie mwenyewe?
2 Reactions
4 Replies
10K Views
Tumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth Umeshawahi kutumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth kupitia simu yako ? Najua wengi tunaotumia simu kwenye mambo mengi tu ila wengi hatujui tunaweza share...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…