Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Juzi tu hapa tulishuhudia Apple wakirelease brand mpya tofauti ikiweko na simu iphone 15 series. Iphone 15 haijapata mapokeo makubwa kama miaka ya nyuma kwa matoleo mengine, wengi wameonekana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kujua waliofanikiwa ku update whatsapp ikaja na feature mpya ya ku edit meseji uliyotuma ikiwa na makosa atusaidie tusipata hiyo kitu ikiwa inafanya kazi
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia. Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Habari wakuu naombeni msaada katika hili, nina Smart tv aina ya Toshiba fire TV na huku nilipo kuna Cable zile za mtaani unalipia unaunganisha. Changamoto ninayokutana nayo nikichomeka ile Coax...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Msaada wenu tafadhari. Hivi hao views, followers na subscribers wanakuwa ni real people au ni marobot? Kawaida ya channel ya YouTube yenye subscribers zaidi ya 1000, videos zinazokuwa uploaded...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nampango wa kununua Smart TV kampuni ya ALTOP Saize 32 huku inauzwa 270,000/= kwa aliye wahi itumia...vipi unashauri ni inunue?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
COMPERATORS (VILINGANISHI) Comparator ni nini? Kama jina lake linavyo jieleza comparators(vilinganishi) ni tendo la ulinganish linalofanywa na vifaa vya vya kielectronic...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Naomba kufahamu kama naweza kusoma maneno yaliyozibwa na sticker au rangi mfano bluu nyeusi nk katika picha za whastapp au zozote zile.. Mfano picho hiyo hapo chini nataka nione kulichozibwa
1 Reactions
2 Replies
526 Views
Umeshawahi kutumia Ikawa slow mpaka unakereka aisee unatamani kuitupa au kununua nyingine relax Leo nakupa sababu zinazofanya kompyuta kuwa nzito [emoji108] Kompyuta kuwa nzito usababishwq na...
1 Reactions
3 Replies
736 Views
Wakubwa naombeni mwenye game ya gari loli au basi au ya ndege Thanks in advance
2 Reactions
19 Replies
2K Views
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Nina tatizo na external yangu ya Toshiba 1 Tb. Ukiconnect kwenye laptop unasoma ila ukitaka ku transfer files zinagoma kuingia. Nimejaribu kuitoa ktk case yake wapi, pia nmechange ule wire pia...
2 Reactions
4 Replies
621 Views
Wakuu nimepata changamoto katika Google Pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hiyo error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Samahani, mi nataka kujua mzigo ukitumwa kwa DHL ni lazima utatozwa gharama za ushuru hata kama ni laptop na ilikuwa labeled as a gift? Maana niliwahi sikia vitu vya kujifunzia kama laptop huwa...
0 Reactions
30 Replies
18K Views
Kwa wanamaomalizia masomo ya uhandisi kada za Electrical, Electronics , Telecom & computer kama kawaida mwaka wa mwisho mna rungu la project ili kukamilisha masomo yenu ya uhandisi, baadhi...
3 Reactions
28 Replies
11K Views
Part I inapatikana HAPA JINSI YA KUPATA VOLTAGE INAYO BADILIKA Huku pia tunatumia voltage divider;Tofauti na ile ya mwanzo ni kwamba Voltage divider ya huku haitumii fixed resistors,Hivyo...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu naomba kuwakumbusha kwamba Android 13 ilishatoka toka mwaka Jana August na kwa Samsung imeanza kutoka October 22. Simu yangu ilipata updates October 22, hivyo natumia Android 13 toka...
13 Reactions
93 Replies
7K Views
Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C. Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ