Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Part I inapatikana HAPA
JINSI YA KUPATA VOLTAGE INAYO BADILIKA
Huku pia tunatumia voltage divider;Tofauti na ile ya mwanzo ni kwamba Voltage divider ya huku haitumii fixed resistors,Hivyo ukinzani wa divider hii utakua unabadilika badilika hivyo kusababisha voltage nazo kubadilika(hapo ndipo unapopata voltage inayo badilika).
Mfano wa Resistor ambazo ukinzani wake unabadilika badilika kutokana na hali Fulani ni kama vile
-Themistor -hii ukinzani wake una badilika badilika kutokana na kubadilika badilika kwa joto la azingira ambapo imefungwa.
- Photo resistor(LDR)Light Dependant Resistor
hii ukinzani wake una badilika badilika kutokana na kubadilika badilika kwa kiasi cha mwanga katika eneo ilipo fungwa.
Hizi zinapotumika mara nyingi katika divider hufungwa na Variable resistor ambayo hutumika ku-set kiwango cha voltage ambacho kikifikiwa LM741 iweze kutambua na kufanya function Fulani kulingana na mahitaji yako.
Divider hii tutaiongeza katika mchoro wetu ili tupate voltage inayo badilika badilika;hivyo sakiti yetu kwa sasa itakuwa kama ifuatavyo;-
KABLA YA KUENDELEA TUJUE UFANYAJI KAZI WA LM 741
Neno Inverting Input linamaanisha ni sehemu ambayo voltage inayo badilika badilika inaingilia.
Voltage hii hubadilishwa aina ya chaji yake(invertered) yaani kama voltage inayo badilika badilika(inverting) itakua imepanda zaidi ya voltage rejea(mfano zaidi ya 6 VDC inaweza kuwa 6.5VDC na kuendelea) na ikwawa imeingilia upande wa HASI (-)
LM 741 itagundua kupanda huko kwa voltage zaidi ya kiwango cha voltage rejea hivyo itasababisha LM 741 kubadilisha aina ya chaji ya OUTPUT yake yani kutoka kwenye HASI (-) ilikoingilia na kuwa CHANYA(+) inako tokea.
Zingatia
KAMA umeme unao badilika badilika umeingia upande wa HASI (-) na ikatokea umeme huu umepanda juu kuliko kiwango cha umeme rejea .Matokeo yake ni kwamba umeme unaotoka katika output ya LM 741 utabadili chaji yake kutoka kwenye HASI(-) kwenda CHANYA (+)
Mfano;-
(a) Voltage inayo badilika badilika imepanda zaidi ya Voltage rejea hivyo output yake imegeuka kuwa CHANYA.
Voltage inayo badilika badilika imeingilia upande wa ( - ).Output yake itaeendelea kubakia( - ) endapo tu Voltage inayo badilika badilika itaendelea kuwa chini ya kiwango cha voltage rejea ambayo ni 6VDC.
Kama ikitokea Voltage inayo badilika badilika itazidi kiwango cha voltage rejea basi output ya LM 741 itabadilika na kuwa ( + )
(b) Voltage inayo badilika badilika imepanda zaidi ya Voltage rejea hivyo output yake imegeuka kuwa HASI.
Voltage inayo badilika badilika imeingilia upande wa ( + ).Output yake itaeendelea kubakia( + ) endapo tu Voltage inayo badilika badilika itaendelea kuwa chini ya kiwango cha voltage rejea ambayo ni 6VDC.
Kama ikitokea Voltage inayo badilika badilika itazidi kiwango cha voltage rejea basi output ya LM 741 itabadilika na kuwa ( -)
(c) Voltage inayo badilika badilika ipo sawa na Voltage rejea hivyo output yake itakuwa zero voltage( 0V)
Voltage inayo badilika badilika ikiwa imeingia upande wa ( + ) au ( - ).Output yake itaeendelea kubakia( 0 voltage ) endapo tu Voltage inayo badilika badilika itaendelea kuwa sawa na kiwango cha voltage rejea ambayo ni 6VDC.
TUENDELEE KUIJENGA CIRCUIT YETU.
Baada ya kupachika Voltage divider zetu za voltage rejea na voltage inayobadilika badilika sasa tunaweza kupachika LM 741 na sakiti yetu itakuwa kama ifuatayo:-
Kama voltage ya mguu namba mbili itakua kubwa kuliko voltage rejea (mguu namba 3) output itakuwa ( + ) kinyume chake itakuwa ( - )Matumizi ya output itategemeana na mahitaji yako.
Mfano kwa kuwa tunatumia LDR labda utataka giza likiingia taa ijiwashe yenyewe hivyo itakulazimu output ufunge Relay ambayo itatumika kuwasha hiyo taa.
Huwezi ukafunga relay moja kwa moja katika output ya LM 741 itakupasa ufunge Transistor itakayo swich on pale BASE yake itakapo pokea ( + ) voltage (hivyo itakupasa utumie NPN transistor.
Hivyo sakiti ya switching itakuwa kama ifuatavyo;-
Hivyo mwisho tunapata Sakiti iliyo kamilika ili kukamilisha lengo la mbunifu.Sakiti itakua kama ifuatavyo:-
Transistor BC 547 itawasha Relay pale tu itakapo pokea ( + ) chaji katika base yake.
Kama ikitokea giza limeingia LDR hujiongeza ukinzani na hivyo kusababisha voltage kupanda;Voltage itakapo panda LM 741 itagundua kupanda huko hivyo kuibadilisha output yake na kuwa ( + ).
Output ikiwa ( + ) transistor BC 547 itajiwasha na kuwasha relay,Relay ikiwaka itavuta switch ya taa na hivyo mwisho wa mchakato mzima taa itawaka.
Taa itaendelea kuwaka hadi pale mwanga wa jua utakapo anza kujitokeza,ambapo LDR ikipigwa na mwanga ukinzani wake unapungua hivyo kupunguza kiwango cha umeme.
Kiwango cha umeme kikishuka chini ya Voltage rejea taa itazima.Hivyo kusubili hadi pale giza litakapo fika tena.
Kwa wanao penda kujifunza electronics design call 0657-115587
JINSI YA KUPATA VOLTAGE INAYO BADILIKA
Huku pia tunatumia voltage divider;Tofauti na ile ya mwanzo ni kwamba Voltage divider ya huku haitumii fixed resistors,Hivyo ukinzani wa divider hii utakua unabadilika badilika hivyo kusababisha voltage nazo kubadilika(hapo ndipo unapopata voltage inayo badilika).
Mfano wa Resistor ambazo ukinzani wake unabadilika badilika kutokana na hali Fulani ni kama vile
-Themistor -hii ukinzani wake una badilika badilika kutokana na kubadilika badilika kwa joto la azingira ambapo imefungwa.
- Photo resistor(LDR)Light Dependant Resistor
hii ukinzani wake una badilika badilika kutokana na kubadilika badilika kwa kiasi cha mwanga katika eneo ilipo fungwa.
Hizi zinapotumika mara nyingi katika divider hufungwa na Variable resistor ambayo hutumika ku-set kiwango cha voltage ambacho kikifikiwa LM741 iweze kutambua na kufanya function Fulani kulingana na mahitaji yako.
Divider hii tutaiongeza katika mchoro wetu ili tupate voltage inayo badilika badilika;hivyo sakiti yetu kwa sasa itakuwa kama ifuatavyo;-
KABLA YA KUENDELEA TUJUE UFANYAJI KAZI WA LM 741
Neno Inverting Input linamaanisha ni sehemu ambayo voltage inayo badilika badilika inaingilia.
Voltage hii hubadilishwa aina ya chaji yake(invertered) yaani kama voltage inayo badilika badilika(inverting) itakua imepanda zaidi ya voltage rejea(mfano zaidi ya 6 VDC inaweza kuwa 6.5VDC na kuendelea) na ikwawa imeingilia upande wa HASI (-)
LM 741 itagundua kupanda huko kwa voltage zaidi ya kiwango cha voltage rejea hivyo itasababisha LM 741 kubadilisha aina ya chaji ya OUTPUT yake yani kutoka kwenye HASI (-) ilikoingilia na kuwa CHANYA(+) inako tokea.
Zingatia
KAMA umeme unao badilika badilika umeingia upande wa HASI (-) na ikatokea umeme huu umepanda juu kuliko kiwango cha umeme rejea .Matokeo yake ni kwamba umeme unaotoka katika output ya LM 741 utabadili chaji yake kutoka kwenye HASI(-) kwenda CHANYA (+)
Mfano;-
(a) Voltage inayo badilika badilika imepanda zaidi ya Voltage rejea hivyo output yake imegeuka kuwa CHANYA.
Sababu.