Msaada: Toshiba fire TV inanisumbua

Olsea

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
452
250
Habari wakuu naombeni msaada katika hili, nina Smart tv aina ya Toshiba fire TV na huku nilipo kuna Cable zile za mtaani unalipia unaunganisha.

Changamoto ninayokutana nayo nikichomeka ile Coax cable niki search channels inahesabu hadi 100% mwisho inaandika 0 channels found kwa maana sipati hata channel moja ila cable hyo hvyo nikiweka kwenye TV nyingne ambayo sio smart channels zinaingia kama kawaida.

Je, natatuaje hili wakuu?[mention]Chief-Mkwawa[/mention] na wengineo ambao sijawa tag.
 
Pia kwenye advanced options kuna options za Analogy, digital, digita and analogy na Cable only.

Je natakiwa nichague options ipi? Maana nimejaribu zote ila wapi
 
Smart TV unaitumiaje kimaskini? Vuta fiber ya ttcl au supa kasi ya vodacom ustream 24/7

Mkuu kuna mtu namuuzia sasa yeye kwake anatumiaga Cable,tulivyounganisha ndyo yametokea hayo wasi wasi wangu asje akaona namuuzia ktu kibovu
 
Pia kwenye advanced options kuna options za Analogy, digital, digita and analogy na Cable only.

Je natakiwa nichague options ipi? Maana nimejaribu zote ila wapi
In Theory Coax ni Analog mkuu. Unatakiwa uchague hio.

Pia Nimeangalia site ya Amazon wanasema kupata chanell ulizo scan angalia tab ya on now.

Shukran sana ndugu,niki scan inahesabu hadi 100% ikimalza inaandika 0 channels found.
Una scan analog? Ukienda setting kisha live tv kisha sehemu ya kuscan umejaribu kuscan ikiwa analog pekee imekua selected?
 
Una scan analog? Ukienda setting kisha live tv kisha sehemu ya kuscan umejaribu kuscan ikiwa analog pekee imekua selected?

Ndiyo Mkuu,nimejaribu kubadilisha settings kila moja imenipa matokeo hayo hayo ya no Channel found.
 
Ndiyo Mkuu,nimejaribu kubadilisha settings kila moja imenipa matokeo hayo hayo ya no Channel found.
Mkuu sijafahamu tatizo nini hapo, idea nyengine ununue Receiver ya analog, watu wa cable siku hizi wanatoa na vi receiver vyao, una search kwenye ile receiver na huku kwenye tv signal zinakuja kama Digital na HDMI. Exactly model sijafahamu ila by appearance inaonekana ni bei rahisi.
 
Shukran sana nitalifanyia kazi hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom