๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ธ๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—œ๐—ธ๐—ผ ๐˜€๐—น๐—ผ๐˜„

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Umeshawahi kutumia Ikawa slow mpaka unakereka aisee unatamani kuitupa au kununua nyingine relax Leo nakupa sababu zinazofanya kompyuta kuwa nzito

View attachment 2761003

Kompyuta kuwa nzito usababishwq na mambo mengi sana lakini Leo nakuambiq baadhi.

Nisikuchoshe
Twende chini

View attachment 2761004

Kuna Sababu kadhaa

- window ikiwa haijawa activate usababisha kompyuta Yako kuwa nzito balaa maana Kuna baadhi ya vitu vinaku limit havifanyi kazi ipasavyo.

View attachment 2761005

- kompyuta ikitokea imeathiliwa na virus Kuna wakati huwa nzito kutokana na virusi kuingilia kompyuta Yako.


- ikitokea ujafanya update ya kompyuta Yako upelekea kompyuta kuwa nzito inawezekana program unazo run as compatible na window Os iliyopo Kwenye mashine Yako.

images%20(55).jpg


- Kuna program automatic Zina run Kwenye mashine Yako bila wewe kujua Kuna wakati Kwenye kompyuta zetu huwa Kuna program either ume install au umeikutq na window zinakua zinafanya kazi automatic upelekea mashine kuwa nzito.


- kuwa na Ram ndo pia upelekea kompyuta Yako kuwa nzito haswa ikiwa una run zile software au system ambazo Zina support kiwango kikubwa Cha ram alafu wee ram Yako 2Gb au 4Gb upelekea mashine kuwa nzito.


- Hard disk ikiwa inakaribia kufa pia upelekea kompyuta Yako kuwa nzito inabidi huweke akilini hard disk nazo zinachoka na kufa inabidi uangalie Health yake Iko ngapi kama Iko chini ys asilimia 85 % badili.

Ziko sababu nyingi ila hizo ni baadhi TU kwaiyo ukiona Kompyuta Yako ni nzito jitahidi kuangalia nini kina sababishq kabla ujaamua kutatua changamoto.View attachment 2761001View attachment 2761002
 
Nina tatizo na external yangu ya Toshiba 1 Tb.. Ukiconnect kwenye laptop unasoma ila ukitaka ku transfer files zinagoma kuingia... Nimejaribu kuitoa ktk case yake wapi, pia nmechange ule wire pia Hola.. Nimejaribu ktk pc ingne pia ni hivyo hivyo..
Msaada tafadhali
 
Nina tatizo na external yangu ya Toshiba 1 Tb.. Ukiconnect kwenye laptop unasoma ila ukitaka ku transfer files zinagoma kuingia... Nimejaribu kuitoa ktk case yake wapi, pia nmechange ule wire pia Hola.. Nimejaribu ktk pc ingne pia ni hivyo hivyo..
Msaada tafadhali
Inabidi kwanza uangalie life time yake kabla hatujaendelea mbele tafuta program inaitwa Hard disk sentinels , HDD scan au stellar drive monitor itakusaidia kuweza kuangalia life ya hard disk Yako.
 
Back
Top Bottom