Kutuma mzigo kwa DHL kutoka nje ya nchi

danmarc

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
566
115
Samahani, mi nataka kujua mzigo ukitumwa kwa DHL ni lazima utatozwa gharama za ushuru hata kama ni laptop na ilikuwa labeled as a gift?

Maana niliwahi sikia vitu vya kujifunzia kama laptop huwa havitozwi ushuru lakini bado nasikia ushuru lazma, sasa napata mkanganyiko kidogo.
 
Samahan mi nataka kujua mzigo ukitumwa kwa dhl ni lazima utatozwa gharama za ushuru hata kama ni laptop na ilikuwa labeled as a gift? Mana niliwai sikia viyu vya kujifunzia kama laptop huwa havitozwi ushuru? Afu bado naskia ushuru lazma sasa napata mkanganyiko kidogo

Ushuru Lazima isipokua kwa vitu Exempted

Je wata interpret Laptop kama education material?
Mind You DHL hawana mambo ya Gift kama sijakosea nimewai fanya huo mchezo wakanicheleweshea mzigo sababu ilibidi Seller atume Profoma Invoice kwa posta tena!

Waweza fanya investigation ufatilie vitu vilivyo exempted if possible ku confirm nao kwa kuwapigia

Ila my Opinion bei ya DHL na Fedex kwa mizigo mikubwa hazitofautiani na vitu ambavyo ni for personal use Fedex huwa hawatozi Tax nsijue hii karne ya Mjomba Makomeo!
 
mkuu hivi dhl naweza kuagiza keyboard(piano)
wanazingatia malipo kwa kg??????au
na procedure zake zikoje maana huwa nashindwa kuelewa malipo yao..........
 
Kodi haitozwi na dhl au fedex...hutozwa na TRA.(DHL na FEDEX ni wasafirishaji tu.)Laptop haina kodi lakini kuna gharama za kawaida za kulipa pale airport....kama swissportcharges etc...etc.
 
DHL/Fedex hawatozi ushuru wao kama wao ila wana hakikisha kila mzigo ulotumiwa una Details zote zinatakazomwia rahisi Ofisa wa TRA hapo ofisini kwao kuweza ku charge Tax !

Pia kwa DHL kuna pesa ndogo kama 5000/= hivi yakuachia mzigo!
 
mkuu hivi dhl naweza kuagiza keyboard(piano)
wanazingatia malipo kwa kg??????au
na procedure zake zikoje maana huwa nashindwa kuelewa malipo yao..........
Assume Mzigo wako ni 100$

Sasa watazidisha % ya Import duty + VAT then hiyo ndo hela ya Ushuru!

Waweza fatilia % za hivo vitu viwili kwenye web ya TRA ni kiasi gani
 
Ushuru Lazima isipokua kwa vitu Exempted

Je wata interpret Laptop kama education material?
Mind You DHL hawana mambo ya Gift kama sijakosea nimewai fanya huo mchezo wakanicheleweshea mzigo sababu ilibidi Seller atume Profoma Invoice kwa posta tena!

Waweza fanya investigation ufatilie vitu vilivyo exempted if possible ku confirm nao kwa kuwapigia

Ila my Opinion bei ya DHL na Fedex kwa mizigo mikubwa hazitofautiani na vitu ambavyo ni for personal use Fedex huwa hawatozi Tax nsijue hii karne ya Mjomba Makomeo!
Ahsante Kwa Maelezo yako .vipi hao fedex mizigo yao Nina ipokea vipi mana sijawai hataona ma agent wao mitaan humu
 
Na vipi kwa mizigo kama gar, hapo mkuu unaweza pia kufanya shiping kwa kutumia dhl n iyo fedex.... Msaaada plz hapo
 
Kwa laptop utalipia pesa ndogo sana ambayo hata elf30 haiwez kufika.. Ila hiyo ni endapo utatumia EMS hata kwa DHL malipo pia si makubwa kwani laptop kiuhalisia haina kodi
 
Ahsante Kwa Maelezo yako .vipi hao fedex mizigo yao Nina ipokea vipi mana sijawai hataona ma agent wao mitaan humu

Wame combine na FastCourier kwa hapa DSM tatizo Pikipiki zao haziko labeled
Wanakuletea mpaka ulipo ila kama ukiona wanachelewesha maana imewai nitokea nimeagiza laptop afu Yule agaent akaondoka nayo ofisini kadri nilivooneshwa na Track number lakini ilipofika jioni akaurudisha ofisini mzigo ikabidi kesho yake niamkie ofisini kwao na wanapatikana along the way Pugu road kabla haujafika TAZARA kama unatokea Kariakoo!
 
Wame combine na FastCourier kwa hapa najua hizi M tatizo Pikipiki zao haziko labeled
Wanakuletea mpaka ulipo ila kama ukiona wanachelewesha maana imewai nitokea nimeagiza laptop afu Yule agaent akaondoka nayo ofisini kadri nilivooneshwa na Track number lakini ilipofika jioni akaurudisha ofisini mzigo ikabidi kesho yake niamkie ofisini kwao na wanapatikana along the way Pugu road kabla haujafika TAZARA kama unatokea Kariakoo!
Ahsante sana mkuu Kwa Maelezo mazuri na vipi address nayotakiwa kujaza inatakiwa iweje maana na hakika hizi PO BOX hawa jamaa hawazitumii
 
Weka Physical adress na hakikisha anaekutumia anaweka namba ya simu!

Bahati nzuri mimi nahishi eneo ambalo ni maarufu hivo wale agents huwa wanakuja mpaka hilo eneo then wanani Call then najongea eneo walipo na wananipa mzigo wangu kama siku za kazi unakua hauko Nyumbani waweza tumia sehemu maarufu kazini unakofanya kazi!

Adress Format:
Njunwa Wamavoko
Sea Cliff,Masaki
Dar es salaam
Tanzania
075************
 
Wadau ningependa kufaham kwa mwezi wa June na July kodi za simu zimekaaje maana naagiza Simu ya 300$ na inatumwa kwa Fedex international Priority. Wasiwasi wangu ni kwamba naweza kupigwa ushuru ikawa mara mbili ya thaman ya simu yenyewe. Naomba kufahamishwa tafadhali
 
Weka Physical adress na hakikisha anaekutumia anaweka namba ya simu!

Bahati nzuri mimi nahishi eneo ambalo ni maarufu hivo wale agents huwa wanakuja mpaka hilo eneo then wanani Call then najongea eneo walipo na wananipa mzigo wangu kama siku za kazi unakua hauko Nyumbani waweza tumia sehemu maarufu kazini unakofanya kazi!

Adress Format:
Njunwa Wamavoko
Sea Cliff,Masaki
Dar es salaam
Tanzania
075************
Njunwa hebu nisaidie Kuna jamaa anataka anitumie mzigo ambao Ni simu kutoka Italy just. 1 piece sasa unanishauri atumie njia ipi ambayo Ni sahihikuepusha ucheleweshaji wa. Mzigo Na kupotea kwa mziigo Mimi niko nachingwea lindi kwa sasa Na nataka nitumie sanduku la posts la oficini ambako nafanyia. kazi nawasilisha kak
 
Ahsante Kwa Maelezo yako .vipi hao fedex mizigo yao Nina ipokea vipi mana sijawai hataona ma agent wao mitaan humu
FEDEX agent wao ni CDS. Niliwahi kufanya nao transaction wakanisumbua kwenye malipo. Sijajua kama ilitokea kwangu tu au ndio walivyo. Nimeamua kurudi DHL kwa mizigo yangu ya nje.
 
Back
Top Bottom