Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Of all the communities available to us there is not one I would want to devote myself to, except for the society of the true searchers, which has very few living...
1 Reactions
1 Replies
737 Views
Naomba kusaidiwa nifanye nini na simu yangu maana nimestukia imegoma tu kuonesha picha na video.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi icon za program za kwenye pc yangu zimebadilika na kuwa PDF icon, so ikufungua hiyo program au file aziugunguki zinafunguka kama PDF, Nimejaribu ku UNINSTALL PDF progms zikakarudi kawaida...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
wadau wa jukwaa hili naombeni msaada laptop yang nikiizma inakaa muda mrefu sana kisha inazima kuna maneno inaandika window is updating please do not turn off your computer, kisha inaanza kuhesab...
0 Reactions
1 Replies
627 Views
Habari wana jamvi. Simu tajwa hapo juu, takribani wiki nzima inasumbua intaneti. Tatizo lilianza baada ya kubadili laini. Nimejarbu kucheki kwenye application, proxy; Not set, Port; Not set...
0 Reactions
5 Replies
816 Views
Ipi niichukue kati ya hizi simu mbili,mwenye uzoefu maana nilikuwa natumia simu yenye android os ™••••••••••™ nitashukuru
0 Reactions
5 Replies
804 Views
wadau wa jf hebu nielewesheni maana simu nyingi nabahatika kuliona hili neno syncronization katika simu linasaidia kwa njia gani na ina umuhimu gani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani naomba msaada software ya kuedit picha na pia msaada cimu yangu ipo slow sana kwenye internet.natumia cm aina ya ANDROID CELKON A85
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ninataka kununuwa Harrier, lakini kuna mdau mwenye uzoefu kaniambia Harrier siyo gari za kununuwa. Spare zake ni adimu pia zina tatizo la ku-knock engine. Je wakuu, hizi taarfa zina ukweli wowote...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Helow my People Kuna katatizo haka nimekutana nako leo naka menikosesha TAKE HOME ya maana Ni computer desktop inawaka afu kwenye screen inaonyesha Black lkn ukibonyeza menu ya hiyo monitor...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Life companionMake your life richer, simpler, and more fun. As a real life companion, the new Samsung GALAXY S4 helps bring us closer and captures those fun moments when we are together. Each...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
wana jforum nielewesheni ni vipi naweza kuzifanya call zinazoingia katika line kama haipatikani au simu imezimwa kuingia katika call kuingia direct katika line nyengine?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nimenunua server nataka kuinstall server ya windows na ubuntu zifanye kazi kwa wakati mmoja kwa kutumia vmware. nataka windows kwaajili ya application za kawaida na ubuntu kwaajili ya kuhost...
0 Reactions
4 Replies
793 Views
Habari Ndugu wana Jf,naomba msaada ovistore ya Nokia X2-01 inazingua kudownload kila nikiingia nikitaka kudownload inaniambia link not available try again. Asante
1 Reactions
1 Replies
746 Views
anayejua anisaidie steps tafadhali
0 Reactions
3 Replies
721 Views
Wana wa familia hii ya JF natumai mko poa, Tafadhali naombeni kwa anayefahamu juu ya hili tatizo lililoikumba simu yangu ya Nokia101,nikiiwasha yanatokea maandishi ya LOCAL MODE basi halafu...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
when i run IGI game give me no D3D drivers with hardware accleration found.nifanyeje?
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Mwenzenu huwa nashindwa kuelewa maana ya vifaa hapo juu pia naomba mnijulishe kazi zake.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana jf hebu nielewesheni katika simu nyingi ninazonunua katika call setting kuna huduma wanaita call waiting hivi maana yake ni nini na ina umuhimu gani?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wataalamu, Nimeletewa simu samsung ila kuna apps zinakuja na maneno ya kichina kwa mfano Opera,Browser yake(simu),na Apps nyingine ila sio zote Thanks in advance...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Back
Top Bottom