Msaada kwenye tuta,(nokia asha)

Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,062
1,292
Gooday peeeoplesss!!
Hope mko fresh inshallah.
Nokia asha 302,
1) ukiingia internet inakwambia error 006.
2)ukidownload kitu inakwambia certificate notfound on sim o phone.
3) baadhi ya applications ikidownload inajisave kwenye picture folder,ambapo ukifungua inakwambia format not supported.
Wataalam,msaada tafadhali!!
Be bleeeesd....
 
application kujieka kwenye gallery au folder la picture
hapo ina maana umedownload file ambalo halipo compatible na simu yako simu za asha zinakubali mafile ya jar au jad. Sometime unakuta file lipo sahihi lakini limefungwa kwenye zip au rar hii pia husababisha file kuenda kwenye folder la picha maana linakua halipo recognised.

certificate not found in phone or sim
kikawaida simu za s40 kama asha haziulizi certificate labda ikwambie tu application is not from trusted supplier nahisi wewe umefanya mambo haya mawili
1. Simu imeflashiwa kwa wahuni wa mtaani wamekuharibia
2. Bahati mbaya umezifuta hizo certificate mainly zinakaa kwenye browser setting (maybe ulikua unahangaika kuifanya internet ifanye kazi ukazifuta)

so solution hapa ni ku update au ku reinstall upya firmware hapa itabidi uwe na pc yenye internet yenye bundle ya zaidi ya mb200. Hio pc iwe na nokia suite conect simu na pc kwa usb cable then nenda sehemu ya software update ukai update simu yako.

kuto connect internet error 006

kutokana na review nyingi nlizofanya za internet wanasema ni software ishu kuna patch imekua released kusolve so nakushauri hapa pia update simu yako.

Alternatively unaweza change line na kuangalia line zote zinafanya hivo? Kama nyengine zinakubali itabidi ufanye personal configuration ambayo ni easy.

Fanya hayo kwanza
 
chief-mkwawa THANK YOU VERY MUCH MKUU.

Ngoja nifanye ntakuja na feedback.
Kuhusu line,nimejaribu but majibu the same.
Ila thank u..
 
Last edited by a moderator:
jaribu kuingia setting then security then authority certficate then select use certificate namba 2 halafu ludi kwenye kudownload apps kama operamini 7.1...ikigoma ivoivo tena select authority certficate namb 3 hadi itakubali....simu yako kuna mtu kabonyeza vibaya.....hiyo nokia express browser ni sumbufu sana inataka personal configuration
 
jaribu kuingia setting then security then authority certficate then select use certificate namba 2 halafu ludi kwenye kudownload apps kama operamini 7.1...ikigoma ivoivo tena select authority certficate namb 3 hadi itakubali....simu yako kuna mtu kabonyeza vibaya.....hiyo nokia express browser ni sumbufu sana inataka personal configuration

wasumbufu ni mitandao yetu simu za asha zinachukua setting automatic na kueka. kama tigo apn yao inakuja tigo tanzania (ina space) ushaona wapi apn ya hivo ndo mana kila ukiconect hola.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom