Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]PICHA YA NDEGE ILIYO UNDWA NA DENIS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kijana wa kitanzania ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha
Arusha aitwaye Denis, amefanikiwa kuunda ndege ya
abiria. Kijana huyo alianza kuiunda ndege hiyo zaidi ya miezi
mitatu iliyo pita na sasa ipo katika hatua za mwisho kabla h
ajaifanyia majaribio.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]MZEE WA KIJIWE AKIWA NJE YA NDEGE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hii ni mara ya pili kwa kijana huyu kuunda ndege baada ya kufanya majaribio mengine huko mkoani Mara ambayo yalikuwa na matunda mazuri.
Ndege inayo endelea kutengenezwa na kijana huyu ipo katika eneo la Chuo kikuu cha Arusha kilichopo katika mji mdogo wa Usariver karibu na hifadhi ya wanyama ya Arusha (Arusha National Park).
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]MZEE WA KIJIWE AKIWA KWENYE NDEGE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Endapo majaribio ya bwana
Denis yakifanikiwa basi atakuwa ameipeperusha vyema bendera ya
Tanzania na Africa kwa ujumla. Ni wito wangu kwa Serikali na
taasisi binafsi kujitokeza na kumuunga mkono kijana huyu
katika majaribio haya makubwa na yakimapinduzi.
http://audifacejackson.blogspot.com/2013/07/mwanafunzi-wa-kitanzania-aunda-ndege-ya.html