Online radio zanitesa

Online radio zanitesa

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,629
Reaction score
5,262
ndugu wana JF habari zenu .najtokeza tena kwenu kuomba msaada/maelezo ya kina jnc ya kuckiliza onlne radio kupitia tecno n3 tatu kupitia mising ifuatayo *ni sehemu au link ip n2mie *gharama za kuckilza zkoje*redio za kibongo ntapataje
 
Mimi nina tecno n3 na ninasikizana katika tune in radio na kuanglia tv nenda store yako u download
 
radio za bongo ambazo ipo online mda wote ni east africa... times fm maramoja moja na clouds fm...nyingine utasikia recorded tu
 
Back
Top Bottom