Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Wadau
nimejenga eneo ambalo umeme haujafika bado na sidhani kama utakuja hivi karibuni so nilikuwa nataka kutumia nishati mbadala ya umeme sola pawa.
Nahitaji sola inayoweza kuwasha taa 12 (sio lazima zote ziwake kwa pamoja)
TV + Deck + desktop computer + laptop + hufa na kuchaji simu.
Ni wapi naweza kupata sola bora yenye kukidhi mahitaji hapo juu?
Bei zake zikoje?
Msaada