msaada kuhusu RAM kwenye simu

msaada kuhusu RAM kwenye simu

Luno G

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
2,550
Reaction score
1,852
Natumia simu ya tecno l3 yenye ram 512mb sasa tatizo lililopo ni kwamba running applications zinakuwa nyingi kiasi cha kuchukua sehemu kubwa ya ram jambo linalopelekea simu kuwa slow kwa nyakati fulani.

Msaada wenu kwangu je kuna namna ya kupunguza hizi running applications? Kama ipo naomba nielekezwe

Akina CHIEF MKWAWA na wadau wengine embu tusaidiane

Ahsanteni
 
Last edited by a moderator:
permanent solution ni ku unisntall apps za kipuuzi na kuacha app chache tu.

pia unaweza fanya hivi hapo ulipoona apps nyingi zinarun unaweza ukaziclose ila solution hii ni temporary.

unaweza pia ukadownload task manager kama vile go task manager ukafanya general kill itaclose background app zote zinazokula ram.

kwenye samsung yangu kuna developer mode(sidhani kama kwenye tecno ipo) ila kama ipo unaweza kwenda na kuchagua simu itadeal vp na background apps unaweza ukaeka iwe moja au hata uikataze simu isiweke background apps
 
Tecno L3 dah, nilipo soma tu specs zake mwili ukasisimuka. Haya bwana.

Kaka chief-mkwawa hiyo mambo developer mode ipo kwangu, lakini naona kama ni ya wale ma-wizard wa android au? Maana siielewagi... Na mm ningependa kuua hiz background apps kwa njia hii
 
Shukrani kiongozi nadhani inabidi ni uninstall baadhi ya app japo naona sehemu kubwa ya ram inaliwa na applications/systems zilizomo katika simu kama vile settings nk

Nimejaribu kuzi stop ila baada ya muda zinarudi na kuanza kupiga mzigo upya aisee tecno hii kwa mara ya kwanza inafanya nianze kuichukia hii kampuni ambayo ni niliona ni kimbilio letu kwa akina sisi tunaopenda vizuri kwa bei nafuu
 
Kwanini mwili ulisimuka kiongozi?
 
download go task manager one click unaua background apps zote ambazo sio za system.

ila pia ukiroot simu unaweza un install bloatware kama google map, now, gmail na apps zote ambazo huwezi zi uninstall
 
Tecno L3 dah, nilipo soma tu specs zake mwili ukasisimuka. Haya bwana.

Kaka chief-mkwawa hiyo mambo developer mode ipo kwangu, lakini naona kama ni ya wale ma-wizard wa android au? Maana siielewagi... Na mm ningependa kuua hiz background apps kwa njia hii

click developer option tafuta hiki kitu
ll803gkniubb546juhta.png

standard limit simu inaamua yenyewe ukieka no background basi zote zitajifunga
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye rut mkuu embu fafanua kidogo ili na mimi nipunbuze apps ambazo n useless kwangu
 
download go task manager one click unaua background apps zote ambazo sio za system.

ila pia ukiroot simu unaweza un install bloatware kama google map, now, gmail na apps zote ambazo huwezi zi uninstall

Aisee wacha niipakue hiii task manager huku nikifanya mpango wa kuiroot
 
Hapo kwenye rut mkuu embu fafanua kidogo ili na mimi nipunbuze apps ambazo n useless kwangu

app inayoweza kutoa hizo bloatware inahitaji simu yako iwe ipo rooted. mimi sio mtaalam sana/spend mambo ya kuroot ila hapa jukwaan zipo thread nyingi zinazozungumzia hizo ishu
 
Back
Top Bottom