Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Yaani hii ndio kwanza inanitokea, yaani kila faili la word na pdf ninalofungua linaonyesha halikuandikwa kitu chochote wakati mengine yalikuwa na kurasa mpaka 400. Kama kuna mwenye ushauri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
unaingia google then search wwitv kunbuka ni ww tu mbili sio tatu,baada ya hapo watakuletea option uinstal flash player yao,instal then tizama mechi live na mengineyo. tumia airtel ndo ipo faster.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
add hii extension kwenye google chrome naichek match live ya England vs Uekraine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina Nokia 210 asha nikiingia kwenye internet na kuplay wimbo kwenye youtube inaniandikia serching for networks halafu check connection setting na hai play, naomba msaada wa ku connect hiyo media...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
hv hyo iphone 5c wanayosema ni cheap inalingana uwezo wake na zingine au wamepunguza na programs i.e uwezo binafsi wa simu?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nashidwa kuprint kutoka kwenye IPAD (apple) kwa kutumia USb printer kwasababu sina Wireless network. natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Wandugu Nimevamiwa na malware aina ya Win64:Sirefif au kitu kama hicho. Mwingine ni Win32:Gen Nashindwa kudownload chochote. Yaani browsers hazifanyi kazi. Kwa hiyo hata nikitaka kudownload MBAM...
0 Reactions
4 Replies
973 Views
Kuna uzi niliuona huku kuna mtu anatengeneza stabilizer cum stepup transformer, kwa yeyote anyefahamu anijuze kuna dili nataka kumpatia huyo jamaa. Please ni-PM
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Habari zenyu wakubwa.. Nafahamu ya kuwa unaweza kutumia Modem mbili at the same time ili kuongeza speed ya internet, Sasa nilikua nauliza kuwa je ukiconect PC yako kwenye Wi-fi alafu at the same...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Habari wakuu, Naomba msaada kwa yeyote anaejua jinsi ya kuondokana na tatizo hili. Ni Samsung s3 inapiga na kupokea simu, inatuma na kupokea messages na everything kipo fine isipokuwa internet tu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hankook is latest to roll out airless tire conceptBy Viknesh Vijayenthiran | MotorAuthority – Mon, Sep 9, 2013 6:05 PM EDT Email Recommend 834 Tweet...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
naomba mnisaidie nitapata vp idm with full key,i mean any cracked idm for windows 8 for nw kwan nimejiunga na wajanja 9t sasa idm imezingua.
0 Reactions
5 Replies
887 Views
Wadau nina tatizo ktk computer yangu desktop-dell, partition mojawapo imepoteza files zote (hazionekani). Nikiangalia properties naona imetumika (used space). Nimejaribu kuangalia TOOLS ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mwenye installation key za BONGO 1.0 Operating system tafadhali anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Kwa mwenye product key za Bongo 1.0 operating system,naomba anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Nilizima haraka haraka ikiwa na low charge nilipowasha imegoma nikaweka charge ikagoma nimejaribu kutoa betri na kurudishia pia imegoma msaada pls
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tuna organization yetu ambayo ina deal na mambo ya youths, tulikuja na idea ambayo inahusisha masuala flani ya transaction kupitia simu na hiyo idea tulijaribu ipush kwenye makampuni mbalimbali ya...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Wakuu hii Jf app inasumbua sana kwenye iOS, yani kuclik ili uanze kuitumia inagoma kabisa sijajua ni vile niko nje ya tz ama ni wi-fi ya hapa kwangu, mpaka sasa niende kwa desktop. Kuna mtu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii,napenda kuuliza nimekuwa nkiona majadiliano ya jinc ya kuitambua cm ambayo inabetr inayotunza chaji mda mrefu hasa kupitia specification za simu husika.Binafs yangu bado sijaelewa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
ni HP 620..nimepitapita maduka hapo posta bei yake ni 150,000/= kwa hiyo kama kuna mtu anafahamu duka ambalo wanauza bei cheap kidogo tafadhali anisaidie....ila nikapacheki ahsanteni na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom