KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wakuu habari za majukumu natumai mko poa tafadhalini nisaidieni nifanye nini ili simi yangu hii irudi ktk hali yake ya kawaida
Aina ya simu ni Samsung Gallaxy Note2 GT-N7100
Tatizo la simu ni 1: inagoma kuitambua simcard(simcard ni ya kukata)
2:Ninapotoa betri na kuirudisha bila kuiwasha simu inajiwasha yenyewe
3:Inapomaliza kuwaka ninapoiacha standby baaada ya dakika chache najikuta imekwishazima wakati mwingine inakuwa inawasha kitaa chekundu kilichopo huku kwa mbele usawa wa kamera kwa tatizo la simcard nilikwishawahi kwenda ofisi za airtel nikakatiwa line nikidhani labda line ndio shida lakini tatizo bado liko palepale
Naombeni msaada wenu wa jinsi gani nifanye ili kutatua tatizo hili niko mikoani.