Unasemaje: Asus FonePad vs Asus Google Nexus 7 Celullar?

Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,703
Likes
108
Points
160
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,703 108 160
Wakuu ktk pita pita zangu humu mitandaoni nimeona hizo ndude hapo juu.Nataka kujua,kwa matumizi ya kawaida,ni ipi kati ya hizo iko vizuri zaidi ya nyezake.

Inavyoonekana bei zake ni cheaper ukilinganisha na brands nyingine kama Samsung (Galax Note 8).Je,ndio kusema Galax ni bora kuziliko au ni kwa sababu ya brand tu?

Na je,vipi bei zake kibongo bongo?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,712
Likes
9,727
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,712 9,727 280
mkuu mimi nikiangalia mbali baada kama miaka mitano asus na lenovo ndo watakua dell na hp wapya jamaa wana innovation na vitu unique unique then vitu vyao ni cheap.

kiuhalisia kwa maisha ya kiafrica na asia fonepad ni nzuri kuliko nexus 7 sababu fonepad ni version ya nexus ilioekwa 3g na capability za kupiga simu na kutuma message.

tatizo ni kama ulivosema hii brandname sio maarufu kwa macho ya wafanyabiashara wetu ndio maana huzion nyingi mtaani.

pia jamaa asus wana tablet mpya zinaingia mtaan mwez wa 7 za dola 129 za kimarekani so kuna posibility ya kuwa na tablet nzuri zenye bei inayorange 200,000 hadi 250,000
 
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,703
Likes
108
Points
160
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,703 108 160
Mkuu @chief-mkwawa mimi pia nimekuwa nikiangalia uhalisia wa matumizi ya hizi devices hasa ktk mazingira yetu ya kila siku,kiukweli watu wanaongonzwa zaidi na brand names kuliko mahitaji yao halisi.

Nilikuwa nafikiria kuwa,kwa matumzi,let's say yangu,mimi nitahitaji tab yenye capacity at least 16gb,internal memory ya 1gb,iwe na uwezo wa kuaccept SIM(3g) na battery ya angalau kwa 9hrs.Ukiingia sokoni utakuta maajabu,devices zenye vigezo hivyo ni nyngi sana ila bei zake zinatofautiana sana kulingana na brand names.Na sisi watumiaji tuna matatizo sijui,utakuta mtu ananunua galaxy note 8 anaacha fonepad yenye the same specs ambayo pia ni 2-3 times cheaper!

Nilikuwa napitia Lenovo na Acer they real look perfect ila kinachobore ni kama jamaa hawajafanya utafiti kuhusu masoko ya nchi zinazoendelea hasa Africa na Asia.Wana devices chache sana zenye kuaccept SIM.Wamebase sana kwenye Wifi,this(to me) ni short coming.Katika mazingira yetu haya Wifi network haijapanuka kiasi hicho.Tunategemea ISP wa mitandao ya simu kupata internet services.

Ni kweli hata mimi nakuunga mkono kabisa,kwamba ikiwa Lenovo na Asus wakigundua mahitaji halisi ya soko,upo uwezekano mkubwa wa makampuni haya ya kibepari(Apple na Samsung) yakasika adabu huko tunakoelekea.
 
B

bs0d

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Messages
253
Likes
3
Points
35
B

bs0d

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2013
253 3 35
Nexus 7 is terrible interms of screen repair...Nimetumia muda wa masaa 5 na nii replace screen front housing,adhesives screews na kutoa kioo had to reheat surface gently .
Dont ever break that Nexus7 screen!
Naisubiri Asus Phonepad :kev:
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,712
Likes
9,727
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,712 9,727 280
Nexus 7 is terrible interms of screen repair...Nimetumia muda wa masaa 5 na nii replace screen front housing,adhesives screews na kutoa kioo had to reheat surface gently .
Dont ever break that Nexus7 screen!
Naisubiri Asus Phonepad :kev:
sasa nexus si imetengenezwa na asus? yatakua ni yale yale

nenda hp slate hawa jamaa japo wamefulia lakini wanajulikana kwa durability yao
 
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,703
Likes
108
Points
160
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,703 108 160
sasa nexus si imetengenezwa na asus? yatakua ni yale yale

nenda hp slate hawa jamaa japo wamefulia lakini wanajulikana kwa durability yao
Mi hawa jamaa wananibore kwa kutokuweka gsm sim funtionality kwenye devices zao.

Maana kwa mazingira yetu,wengi tunatumia mitandao ya sim kupata net,wireless networks zetu hazijaenea sana.
 
L

Lepapalongo

Member
Joined
Jan 28, 2009
Messages
91
Likes
3
Points
15
L

Lepapalongo

Member
Joined Jan 28, 2009
91 3 15
Mkuu @chief-mkwawa mimi pia nimekuwa nikiangalia uhalisia wa matumizi ya hizi devices hasa ktk mazingira yetu ya kila siku,kiukweli watu wanaongonzwa zaidi na brand names kuliko mahitaji yao halisi.

Nilikuwa nafikiria kuwa,kwa matumzi,let's say yangu,mimi nitahitaji tab yenye capacity at least 16gb,internal memory ya 1gb,iwe na uwezo wa kuaccept SIM(3g) na battery ya angalau kwa 9hrs.Ukiingia sokoni utakuta maajabu,devices zenye vigezo hivyo ni nyngi sana ila bei zake zinatofautiana sana kulingana na brand names.Na sisi watumiaji tuna matatizo sijui,utakuta mtu ananunua galaxy note 8 anaacha fonepad yenye the same specs ambayo pia ni 2-3 times cheaper!

Nilikuwa napitia Lenovo na Acer they real look perfect ila kinachobore ni kama jamaa hawajafanya utafiti kuhusu masoko ya nchi zinazoendelea hasa Africa na Asia.Wana devices chache sana zenye kuaccept SIM.Wamebase sana kwenye Wifi,this(to me) ni short coming.Katika mazingira yetu haya Wifi network haijapanuka kiasi hicho.Tunategemea ISP wa mitandao ya simu kupata internet services.

Ni kweli hata mimi nakuunga mkono kabisa,kwamba ikiwa Lenovo na Asus wakigundua mahitaji halisi ya soko,upo uwezekano mkubwa wa makampuni haya ya kibepari(Apple na Samsung) yakasika adabu huko tunakoelekea.
Hii device ya Asus payphone ipo POA sanatorium babaaaa kamikaze tab name inakaa name change labda issues ni ubebaji.
 
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Messages
13,157
Likes
4,643
Points
280
Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2012
13,157 4,643 280
Naendelea subiri na mimi ninunue yangu
"Vox populi,Vox dei"
 
Kobello

Kobello

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Messages
6,574
Likes
1,611
Points
280
Kobello

Kobello

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2011
6,574 1,611 280
Mkuu @chief-mkwawa mimi pia nimekuwa nikiangalia uhalisia wa matumizi ya hizi devices hasa ktk mazingira yetu ya kila siku,kiukweli watu wanaongonzwa zaidi na brand names kuliko mahitaji yao halisi.

Nilikuwa nafikiria kuwa,kwa matumzi,let's say yangu,mimi nitahitaji tab yenye capacity at least 16gb,internal memory ya 1gb,iwe na uwezo wa kuaccept SIM(3g) na battery ya angalau kwa 9hrs.Ukiingia sokoni utakuta maajabu,devices zenye vigezo hivyo ni nyngi sana ila bei zake zinatofautiana sana kulingana na brand names.Na sisi watumiaji tuna matatizo sijui,utakuta mtu ananunua galaxy note 8 anaacha fonepad yenye the same specs ambayo pia ni 2-3 times cheaper!

Nilikuwa napitia Lenovo na Acer they real look perfect ila kinachobore ni kama jamaa hawajafanya utafiti kuhusu masoko ya nchi zinazoendelea hasa Africa na Asia.Wana devices chache sana zenye kuaccept SIM.Wamebase sana kwenye Wifi,this(to me) ni short coming.Katika mazingira yetu haya Wifi network haijapanuka kiasi hicho.Tunategemea ISP wa mitandao ya simu kupata internet services.

Ni kweli hata mimi nakuunga mkono kabisa,kwamba ikiwa Lenovo na Asus wakigundua mahitaji halisi ya soko,upo uwezekano mkubwa wa makampuni haya ya kibepari(Apple na Samsung) yakasika adabu huko tunakoelekea.
Tatizo ni kuwa waafrica hatujazoea sana kujitengenezea Wi-Fi.
Nadhani makampuni ya simu yanabana, kwa sababu internet ni kazi sana kuicontrol.
Ni rahisi kujitengenezea hotspots kwa vitu kama MiFi na vifaa vingine ambavyo ni very portable na vinacapture signals kilaini.
Nimewahi kutuma Polaroid tablet ambayo ni 4.3 inch tablet kwa dola 23, battery life roughly 4hrs, na nikatuma na MiFi ambayo for 40$, unaweza unga hata devices 5, au ukarusha signal kilaini.
It works pretty good! (so I heard).
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
863
Likes
482
Points
80
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
863 482 80
Nexus 7 ipo better maana updates zikitoka tu kama Android 4.3 lazima uipate kwanza bila tatizo na kuna a wide range of developers wapo behind it so kwangu the best by far ni Nexus 7.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,712
Likes
9,727
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,712 9,727 280
Nexus 7 ipo better maana updates zikitoka tu kama Android 4.3 lazima uipate kwanza bila tatizo na kuna a wide range of developers wapo behind it so kwangu the best by far ni Nexus 7.
developer how? maana hardware=nexus na software=android
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
863
Likes
482
Points
80
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
863 482 80
developer how? maana hardware=nexus na software=android
I mean Nexus devices zina technically more developers behind them. Interms of custom rom development.Na pia Android versions zikiwa developed zinakuwa tested first on these devices hence they are faster and more stable than regular devices(Proven by countless reviewers).
 
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
7,144
Likes
179
Points
160
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
7,144 179 160
mkuu mimi nikiangalia mbali baada kama miaka mitano asus na lenovo ndo watakua dell na hp wapya jamaa wana innovation na vitu unique unique then vitu vyao ni cheap.

kiuhalisia kwa maisha ya kiafrica na asia fonepad ni nzuri kuliko nexus 7 sababu fonepad ni version ya nexus ilioekwa 3g na capability za kupiga simu na kutuma message.

tatizo ni kama ulivosema hii brandname sio maarufu kwa macho ya wafanyabiashara wetu ndio maana huzion nyingi mtaani.

pia jamaa asus wana tablet mpya zinaingia mtaan mwez wa 7 za dola 129 za kimarekani so kuna posibility ya kuwa na tablet nzuri zenye bei inayorange 200,000 hadi 250,000
hizo tablet zitakuwa zinaingia line,maana kwa maisha ya kiafrika kuingia line ndio kila kitu wireless wengi hatuziwezi!!!
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,712
Likes
9,727
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,712 9,727 280
hizo tablet zitakuwa zinaingia line,maana kwa maisha ya kiafrika kuingia line ndio kila kitu wireless wengi hatuziwezi!!!
mkuu hua nasearch sana online karibia kila wiki kudiscover tablet za bei rahisi zenye brandname nzuri zinazoingia line. nimekuja kuona tablet nzuri ila watu wengi hawaiongelei

lenovo ideatab a2107
hii ndio best tablet kwa sasa ukicompare jina-bei-specification japo processor ni 1ghz ila ina ram 1gb na 3g ipo inaweza kupatikana as cheap as 250,000(nimetoa bei ya india) ina maana kama unapata supplier mzuri anauza laki 3 bongo its fair
 
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
7,144
Likes
179
Points
160
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
7,144 179 160
mkuu hua nasearch sana online karibia kila wiki kudiscover tablet za bei rahisi zenye brandname nzuri zinazoingia line. nimekuja kuona tablet nzuri ila watu wengi hawaiongelei

lenovo ideatab a2107
hii ndio best tablet kwa sasa ukicompare jina-bei-specification japo processor ni 1ghz ila ina ram 1gb na 3g ipo inaweza kupatikana as cheap as 250,000(nimetoa bei ya india) ina maana kama unapata supplier mzuri anauza laki 3 bongo its fair
umenena mkuu wengi tunapendelea majina mtu antaka awe na ipad,au samsung galaxy wakati huduma hiyo hiyo angeweza kuipata katika tablet ya bei rahisi,ambacho kipato kinaruhusu
 
W

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Messages
3,175
Likes
702
Points
280
W

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2012
3,175 702 280
Ndio maana me naendlea kuugua ugonjwa wangu wa kupenda vitu vsivyokuwa maaruf bt vnafanya ninachotaka!!!

Nimeshaapa kutokunua brand hz
-apple
-nokia
-sumsung
-

n.k pamoja na umaskin wangu
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,712
Likes
9,727
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,712 9,727 280
Ndio maana me naendlea kuugua ugonjwa wangu wa kupenda vitu vsivyokuwa maaruf bt vnafanya ninachotaka!!!

Nimeshaapa kutokunua brand hz
-apple
-nokia
-sumsung
-

n.k pamoja na umaskin wangu
kwanini usinunue?
 
W

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Messages
3,175
Likes
702
Points
280
W

Walas Ba

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2012
3,175 702 280
Binafsi mkuu huwa sipend tu kununua vitu vyenye brand kubwa yan haka n kaugonjwa hata ukiniambia aje, me utaona naenda kuchukua ki cm cha brand ndogo tu!!! cjui n umaskin au nin ila huwa cpend !! ma vitu kila kona nkipta nayaona

Ngja nikupe stor hv,kuna jama alipanga kununua phne akanambia anachkua susung nikamwambia safr njema,matokeo yake akanunua me nikchukua ki local changu,bdae akaanz kutaman chang!. kwa madai kwamb anachka kila mtu anak phne kama chake,nikamwambia so ulinunua coz of brand na sio mahtaji yakn.

Wakati ananua pamja na brand alitoa 2k,wakat 15k lakn kinafanya ninachotaka!

Yan huu ni ugonjwa wangu
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,712
Likes
9,727
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,712 9,727 280
Binafsi mkuu huwa sipend tu kununua vitu vyenye brand kubwa yan haka n kaugonjwa hata ukiniambia aje, me utaona naenda kuchukua ki cm cha brand ndogo tu!!! cjui n umaskin au nin ila huwa cpend !! ma vitu kila kona nkipta nayaona

Ngja nikupe stor hv,kuna jama alipanga kununua phne akanambia anachkua susung nikamwambia safr njema,matokeo yake akanunua me nikchukua ki local changu,bdae akaanz kutaman chang!. kwa madai kwamb anachka kila mtu anak phne kama chake,nikamwambia so ulinunua coz of brand na sio mahtaji yakn.

Wakati ananua pamja na brand alitoa 2k,wakat 15k lakn kinafanya ninachotaka!

Yan huu ni ugonjwa wangu
mkuu mimi nipo tofauti quality mwanzo quantity baadae. simu zangu ukizikagua kwenye angle zimebondeka kwa kudondoka sipo makini sana. na ndio maana manufacture wangu anaenifaa ni nokia tu
 
T

t blj

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
692
Likes
496
Points
80
T

t blj

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
692 496 80
Tatizo ni kuwa waafrica hatujazoea sana kujitengenezea Wi-Fi.
Nadhani makampuni ya simu yanabana, kwa sababu internet ni kazi sana kuicontrol.
Ni rahisi kujitengenezea hotspots kwa vitu kama MiFi na vifaa vingine ambavyo ni very portable na vinacapture signals kilaini.
Nimewahi kutuma Polaroid tablet ambayo ni 4.3 inch tablet kwa dola 23, battery life roughly 4hrs, na nikatuma na MiFi ambayo for 40$, unaweza unga hata devices 5, au ukarusha signal kilaini.
It works pretty good! (so I heard).
Binasfi sioni ugumu kujitengenezea wifi network kama nipo nyumbani, Ugumu unakuja pale unapokuwa nje kibiashara or whatever maana halisi ya portability inapotea , inakubidi uwe na lundo la gadget , ndo maana watu twapendelea tablet zenye sim card na wifi option.
 
Forum statistics

Threads 1,275,100
Members 490,908
Posts 30,532,670