Habarini ndugu zangu,
Ninaomba kusaidiwa kutuma sms nyingi sana bila kuonesha namba yangu, ikiwezekana litokee jina tu nitakalolipenda.
Natanguliza shukrani kwenu.
Moja Kati ya vijana waliofanya mapinduzi makubwa ya teknolijia kwenye umri mdogo ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kampuni ya Silicon Valley na Open Ai Mr Sam Altman amepokonywa cheo chake siku ya...
Morning Guys
Naamini tupo sawia na wale wa Daslam mnajiandaa na bonge la party J'pili [emoji38][emoji38]
Kichwa cha habari chahusu.
Kama wewe ni mpenzi wa bus simulator Indonesia au mpenzi wa...
I learnt some new keyboard shortcuts as I was browsing the net today. Here are some of them, guys any one who knows any more shortcuts he /she can comment here. This is for the better of every one...
๐ง๐ฒ๐ธ๐ป๐ผ๐น๐ถ๐ท๐ถ๐ฎ ๐ต๐ถ๐ถ ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐ถ๐๐ฒ๐ฒ๐ฒ!
Umeshawahi kuiona simu ambayo unaweza kutumia bila kuishika ?? Teknolijia inakwenda Kasi sana kuna kitu kinaitwa Humane Ai pin unakijua ?? Niazime dakika moja tu...
wataalam wa IT, hivi naweza weka window 11 kwenye hp elitebook g3 i7 touch screen 256ssd 8Ram kwa ku bypass na nikaweza pata updates pale itakapo leta new update?
(Nb. TPM 1.2)
Google kufuta Gmail yako desemba
Google imesema rasmi kuanzia desemba Moja mwaka huu 2023 itaanza kufuta email ambazo haziko active kwa Muda mrefu ikiwa hujaitumia email yako ndani ya Miaka...
Teknolojia inazidi kukimbia na kila siku teknolojia mpya inatokea na kubadilika.
Wiki hii katika kongamano la Mobile World Congress (MWC) 2023; teknolojia mpya ya iSIM ilitambulishwa rasmi na...
Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya Whatsapp, Instagram, Facebook wametoa taarifa kuwa ujio wa watu kulipia ushuru kupitia matangazo ya Facebook.
Meta imesema kuanzia tarehe 1 desemba 2023...
Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V.
Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye...
Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu.
Google chrome...
Habari za hapa ndugu zanguni...
Naomba kuuliza kwa anaefahamu namna ya kupata link ya image unapotaka kupost katika forum (natarajia wengi humu wanafahamu).
Hasa kama picha ikiwa katika computer...