wataalam wa IT...Hivi naweza weka window 11 kwenye hp elitebook g3 i7 touch screen 256ssd 8Ram kwa ku bypass na nikaweza pata updates pale itakapo leta new update?
(Nb. TPM 1.2)
Nilitumia njia hyo ila badae walinipiga pini. Nikajirudisha kwa 10wataalam wa IT, hivi naweza weka window 11 kwenye hp elitebook g3 i7 touch screen 256ssd 8Ram kwa ku bypass na nikaweza pata updates pale itakapo leta new update?
(Nb. TPM 1.2)
Eka hata kama hupati updates baadae unaweka iso yenye updates unaipigia juu kwa juuKwahiyo unanishauri nini mkuu maana ninetokea kuikubar saan