Tanzania matangazo ya mitandaoni kulipia ushuru

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2816398

Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya Whatsapp, Instagram, Facebook wametoa taarifa kuwa ujio wa watu kulipia ushuru kupitia matangazo ya Facebook.

Meta imesema kuanzia tarehe 1 desemba 2023 wataanza kukata ushuru kwa ongezeko la thamani Vat kwa matangazo ya Facebook nchini Tanzania yatatozwa ushuru wa Vat ya asilimia 18%.

Kwa ufupi TU VAT(value added tax) ni ushuru wa Matumizi unaotumika kwenye ununuzi wa bidhaa au kulipia huduma Fulani na vifaa vinginevyo vinavyotozwa ushuru.

Meta%20Ads%20%E2%80%93%201.jpg


Wale wote content Creator, wafanya biashara, influencer ambao wanatangaza au kuuza bidhaa kupitia mitandao wataanza kukatwa VAT inabidi waweke namba zao za usajili wa Vat kwenye akaunti zao za matangazo Facebook.

Je unafikiri ni sahihi kuleta huo mfumo kwa watumiaji wa mitandao??
 
Back
Top Bottom