Kuna uwezekano wa kuiwezesha simu kuwa GPRS?

Kuna uwezekano wa kuiwezesha simu kuwa GPRS?

fadhili selemmani

New Member
Joined
Feb 13, 2022
Posts
3
Reaction score
0
Naomba kuuliza wakuu simu yangu ina gps haina GPRS, naomba kuuliza kama title inavosema kunauwezekano wa simu yangu kuwa na gprs
 
Kwanza unajua gprs ni nini? Na tofauti ya gprs na gps ni ipi, maana havina uhusiano.

gprs ni kwaajili ya data wakati gps inahusiana na location.
 
Back
Top Bottom