TV used Vs New brand TV

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
502
938
Ninataka kununua TV. Nimeenda dukani nikiwa nataka kununua brand new TV iwe Hisense, Samsung, LG, Alitop, Allyons etc (sikuwa na choice nilijipanga kwa yoyote ile).

Nikiwa njiani, nikakutana na jamaa yangu ambaye nilisoma nae siku nyingi huko sekondari. Katika kusalimiana nikamueleza jambo langu, ndipo akaniambia, achana na brand new TV. Mimi nauza Used TV kutoka UK. Akanishawishi sana. Nikamjibu kuwa ngoja nikafanye window shopping then nitafikia uamuzi.

Swali langu kwenu wadau, una choice mbili. Used TV nzima kabisa na brand new TV nzima kabisa, utaenda na ipi?
 
Hata ukioa leo unataman bikira, cha maana iwe brand nzuri, Sony, Samsung, Hisense, TCL, achana na ma Alyons
 
epuka brand inayoitwa
Ninataka kununua TV. Nimeenda dukani nikiwa nataka kununua brand new TV iwe Hisense, Samsung, LG, Alitop, Allyons etc (sikuwa na choice nilijipanga kwa yoyote ile).

Nikiwa njiani, nikakutana na jamaa yangu ambaye nilisoma nae siku nyingi huko sekondari. Katika kusalimiana nikamueleza jambo langu, ndipo akaniambia, achana na brand new TV. Mimi nauza Used TV kutoka UK. Akanishawishi sana. Nikamjibu kuwa ngoja nikafanye window shopping then nitafikia uamuzi.

Swali langu kwenu wadau, una choice mbili. Used TV nzima kabisa na brand new TV nzima kabisa, utaenda na ipi?
Epuka chochote kinachoitwa HISENSE. Me, my relative and friends got very bad experience with it. Utanikumbuka baadae
 
epuka brand inayoitwa
Epuka chochote kinachoitwa HISENSE. Me, my relative and friends got very bad experience with it. Utanikumbuka baadae
Mbna mm nauza hisense hizo zote Hapa kkoo na Wala sijawahi pata Complains yyte na hizo used z huko wapi sijui asijaribu nyingi hua zishapigwa spana na zinakula umeme hatari
 
Ipi ni smart TV nzuri , hisense, LG, Samsung au Sony. Naomba msaada wa mawazo kwa wajuzi wa hivi vifaa.
 
Chukua mpya, tv za kisasa zina run kwa masaa, yakifikia mwisho ni lazima ife hata ufanyeje,sasa used hujui imesharum masaa mangapi
 
epuka brand inayoitwa
Epuka chochote kinachoitwa HISENSE. Me, my relative and friends got very bad experience with it. Utanikumbuka baadae
😅😅😅 ina shida gani? Nilitumia Tv yake kama mwaka. Sikuona baya la kutisha.

Ila friji zake ni kama hazihitaji heka heka sana
 
Epuka kitu yebo yebo, star X wako wapi kwa sasa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom