Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Je waungwana kuna njia mbadala ya ku-unlock samsung s5300(android) imeji-lock baada ya kuingizwa alama za siri za uongo mara nyingi? Simu inataka email na password ya Gmail ili ifinguke ila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni modem mpya toka voda,Huawei E303!!pliiiiiiiiiiiiz wadau:bange:
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mambo vipi? wataalam nisaidieni mwenzenu! kama kuna anayejua namna ya kutoonekana online kupitia whatsapp..yani hata nikiwa nachat .lets say nimeingia online saa 8am,ionekane hiyo hiyo kutwa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nilikuwa na website yangu,nime host kenya. Sasa nilitaka kujua na mna ya ku iweka kwenye major search engines kama google nk. Na pia ushauri mwingine wowote wa kuifanya iwe more visible.
0 Reactions
0 Replies
704 Views
wakuu ni bandiko tena la pili hili naomba kwa ambae anauza minilaptop ama kunisaidia kuipata anitafute kwa hii 0778887388
0 Reactions
2 Replies
773 Views
MSAADA KUINSTALL CUSTOM ROM nimeroot simu yangu ila nmeshindwa kuinstall Custom ROM. Nmetumia ROM manager ila simu yangu haimo kwny list ya device supported. natumia GALAXY ACE GT-S5830i
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu wadau.. naombeni mnisaidie kulitatua ili tatizo. Mi natumia Android phone version 2.3.6 kuaccess JF lakini sijadownload JF app. so natumia "touch site " sasa naface matatizo yafutayo : 1...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Betri ya acer mini Laptop naweza pata wapi ndugu zangu?Na bei yake ikoje maana kakwangu kamezingua betri bana.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nahitaji kuipendezesha na mimi blog yangu kwa kuweka picha tofauti kama kivutio kwa watembeleaji na kuweka habari pamoja na picha yake unaweza kuniambia mkuu nifanyeje plz nahitaji kupata ushauri...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Hello friends, wataalam naombeni msaada wa kuifanya simu ya blackberry curve iweze kutumika kama wireless provider. Much thanx!
1 Reactions
11 Replies
1K Views
https://www.voniz.com/varticles/5-amazing-highlights-of-android-44-kitkat
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Salamu Wataalamu. Ninatumia W7 na Browser ya Mozilla Fox. Kwa miezi zaidi ya Sita iliyopita nilikuwa natumia Program ya Video Download Converter kupakuwa Vido kutoka Youtube na kuzihifadhi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Anyone selling his used stuff?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu eeeeh,ka-tecno p3 kangu whassup messenger yake inagoma kuwa updated,nikidownload hilo file la update likishamalizika linagoma kuwa installed na kiniletea ujumbe wa hyo title yng wakati kuna...
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Habarin za kwenu wana jamvi!! naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa kubadilisha VHS kuwa VCD, na kama inawezekana ni wapi hapa dar naweza nikapata hiyo huduma ...........
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ukweli ni kwamba Mpaka sasa hamna #Whatsapp inayo Run katika N73 japokuwa N-series nyngne zna Run whatsapp, siwez nikasema zina support mana hata N73 ina support ila hawa wa2 hawajaamua 2...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Chuo kikuu cha Buffalo nchini Marekani,kimefanya majaribio ya WiFi chini ya maji. Inawezekana? WiFi inapatikana chini ya bahari Erie. Chuo kikuu cha Buffalo nchini Marekani,kilifanya majaribio...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Salaam wakuu, Naomba msaada wa sim unlock code ya hii kitu. IMEI: 862076012032055 Au mwenye kufahamu software tofauti na DC inayoweza kufungua hii simu. Heshima mbele wakuu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wenye phone za android vp kuhusu hii software je result zake ni credible??? phone yangu ni s3 lakini baada ya kufanya benchmark na other devices imekua ranked so low hata imezidiwa na device...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Jamani naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi ya mwisho.. katika facebook nimekutana na mwanamke wa kizungu yeye anafanya kuuza vifaa vya electronics, nataka kununua macbook pro kwa sh. USD...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…