Hello friends, wataalam naombeni msaada wa kuifanya simu ya blackberry curve iweze kutumika kama wireless provider. Much thanx!
Yeah, kuifanya iwe Hotspot mkuu niachane na matumizi ya modemu kama inawezekana kaka. Naomba kama utaweza kumbuka jina la hiyo software basi tupia hapa mkuu.
Natumiaje cable kaka, hebu nipe shule?
Kaka tayari nimeshainstall, waweza nipa maujanja!!
Kutumika kama wireless provider? Sijakuelewa vizuri mkuu, au kuifanya kama hotspot? Haiwezekani hii feature kwenye bb curve mkuu. Labda uwe na software fulani nimeisahau jina tena unafanya installation both kwa pc na phone!

Mbona ya kwangu ni curve na inakubali mobile hotspot donlucchese..