Je hapa ni salama?

Je hapa ni salama?

wa baha ela

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
37
Reaction score
5
Jamani naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi ya mwisho.. katika facebook nimekutana na mwanamke wa kizungu yeye anafanya kuuza vifaa vya electronics, nataka kununua macbook pro kwa sh. USD 1300. amenitumia payment details na copy ya kitambulisho chake hapo chini. Je ununuzi kama huu ni sahihi na si utapeli?
 

Attachments

  • identity Card.jpg
    identity Card.jpg
    65 KB · Views: 78
mi pia nauza macbook pro ni ceo wa apple tim cook na kitambulisho changu pia naweza kupa utaamini?

kaka hivyo vitambulisho vya picha dk 2 tu nafoji havina ishu.

achana na mambo ya kununua fb
 
mi pia nauza macbook pro ni ceo wa apple tim cook na kitambulisho changu pia naweza kupa utaamini?

kaka hivyo vitambulisho vya picha dk 2 tu nafoji havina ishu.

achana na mambo ya kununua fb

Asante kaka, nakuelewa sana
 
Back
Top Bottom