Wadau wenye phone za android vp kuhusu hii software je result zake ni credible??? phone yangu ni s3 lakini baada ya kufanya benchmark na other devices imekua ranked so low hata imezidiwa na device kama google nexus 10 etc
duh kaka kuna kitu gan cha ajabu nexus 10 kumpita s3? mara nyingi tablet zina specs kubwa kuliko na pia nexus 10 version yenye mobile data ni kama laki 8 hadi milion ni bei ghali kuliko s3.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.