Acer Min Laptop

Acer Min Laptop

bakuza

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
492
Reaction score
104
Betri ya acer mini Laptop naweza pata wapi ndugu zangu?Na bei yake ikoje maana kakwangu kamezingua betri bana.
 
Pole sana mkuu!nenda pale karibu na billicans club,ulizia duka linalouza vifaa vya komputa!kuhusu bei sijui mkuu!
 
Alafu ndio akina BxAarfa ukiwaambia wasinunue min laptops hawaelewi...
 
Last edited by a moderator:
Alafu ndio akina BxAarfa ukiwaambia wasinunue min laptops hawaelewi...

Hahahahaha mkuu mm napenda kwa matumizi ya kawaida tu najua sio madhubuti kulinganisha na hizo laptop za kawaida
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom