Hii inakuaje kwenye JF

Hii inakuaje kwenye JF

Mbeky

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
672
Reaction score
520
Salamu wadau..
naombeni mnisaidie kulitatua ili tatizo. Mi natumia Android phone version 2.3.6 kuaccess JF lakini sijadownload JF app. so natumia "touch site " sasa naface matatizo yafutayo :
1. Sipati any notification e.g likes na mentions
2. Incase P.M ikiingia naona red color sehemu ya msg but haifunguki mpaka nichange to wap site ndio naweza kuifungua
3. siwezi kuedit profile yangu
4. siwezi kuvote kwenye mjadala wowote unahusisha upigaji wa kura maana ile mechanism ya upigaji kura haionekani mpaka nifungue window page.

wadau mambo haya yamekua kero kwangu, yananinyima uhuru wa kuenjoy JF pasipo mipaka.
je ni nini chanzo chake na solution ni hipi.
 
Wap site haina features za kutosha, ningekushauri kuweka jf application au kama unataka kufungua kama ilivyo weka browser nzuri inayo support flash player
 
mkuu pole kwa hayo, naamini utapata msaada hapa hapa kwa waliowazoefu na hayo mambo!!
Nakuomba sana ukiweza kurekebisha tatizo hasa kwenye upande wa kupiga kura uingie hapa https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngia-kumi-bora-ndio-hawa;-piga-kura-sasa.html

Na umchague shansarie kuwa miss chit chat 2013.
Asante sana.
 
Wap site haina features za kutosha, ningekushauri kuweka jf application au kama unataka kufungua kama ilivyo weka browser nzuri inayo support flash player

mkuu naona una kauelewa kidogo na haya mambo,hebu nisaidie na mimi.kuna tatizo limeanza kama wiki mbili zilizopita,mtu akinikwot au aki like post yangu,naona notification kama kawaida,ila nikifungua hiyo notification hakuna nachokiona....yaani nakuta ni zile zile za zamani,mpaka ipite nusu saa au wakati mwingine hata siku nzima ndio ndio hizo kwots zinaonekana.
mfnao:sasa hivi mi nimekukwot,utapata notification na utaiona lakini ukiiklik ili uweze kuisoma unakuta haipo,mpaka ipita muda huo nilioutaja ndio ukienda kwenye notification ndo utaona kuwa muda flani kuna mtu alikukwot.unaweza kusaidia tafadhali?
 
Mdau kwani we unatumia simu au PC kuaccess JF
 
natumia pc,ndo nimekuwa nikitumia muda wote bila matatizo but haya yameanza kujitokeza ndani ya hizi wiki mbili hivi

Duh kaka hapo sijui nini tatizo ila labda tungojee waje wataalamu wa haya mambo maana hata mimi mbwembwe tu when it comes to haya mambo mi ni mtazamaji tu
 
aisee kumbe tuko wengi,haya kwetu sisi ni mashikolo mageni
 
Back
Top Bottom