BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,228
- 4,200
Salamu Wataalamu.
Ninatumia W7 na Browser ya Mozilla Fox.
Kwa miezi zaidi ya Sita iliyopita nilikuwa natumia Program ya Video Download Converter kupakuwa Vido kutoka Youtube na kuzihifadhi kwenye Ltop yabgu.
Hata hivyo wiki iliyopita program hiyo ilinipa taarifa kuwa imecrash na baada ya kuinstall tena kila ninapojaribu kupakua Video kutoka Youtube inaniambia 'Not Suported'.
Ninaomba Wataalamu mnijulishe nifanye nini ili Video Download Converter ifanye kazi na pia ninaomba kujulishwa kama kuna program nyingine nzuri zaidi ya kupakua Video kutoka kwenye Youtube. Ukinitupia na Link yake Nitashukuru zaidi.
Ninatanguliza Shukurani.