WhatsaApp Online

WhatsaApp Online

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
3,062
Reaction score
1,299
Mambo vipi?
wataalam nisaidieni mwenzenu!
kama kuna anayejua namna ya kutoonekana online kupitia whatsapp..yani hata nikiwa nachat .lets say nimeingia online saa 8am,ionekane hiyo hiyo kutwa nzima!
masuala ya kubambana na mabosi na vipemba tuyaepuke! wakikuona online hawaachi either kutext or call! basi hata la kujitetea huna!
please help:crying::crying::crying::crying::crying::crying::crying::crying:
 
zima simu.. au watu usiotaka wakuone ondoa namba zao kwenye contact list yako
 
unahitaji whatsapp+ ambayo ipo unlocked ndo inaweza fanya kazi hio. sasa hv ipo version 4.35 kama sjakosea. google then idownload. un install whatsapp ya kawaida kisha install whatsapp+ kwenye page ya chat bonyeza menu utaona sehemu ya kuhide.

ukishindwa rudi utafuniwe
 
Assuming anatumia android os, vp kwa other os mkuu?
 
Mambo vipi?
wataalam nisaidieni mwenzenu!
kama kuna anayejua namna ya kutoonekana online kupitia whatsapp..yani hata nikiwa nachat .lets say nimeingia online saa 8am,ionekane hiyo hiyo kutwa nzima!
masuala ya kubambana na mabosi na vipemba tuyaepuke! wakikuona online hawaachi either kutext or call! basi hata la kujitetea huna!
please help:crying::crying::crying::crying::crying::crying::crying::crying:

Unafanya hivi ili iweje? mi nadhani sio poa best
 
unahitaji whatsapp+ ambayo ipo unlocked ndo inaweza fanya kazi hio. sasa hv ipo version 4.35 kama sjakosea. google then idownload. un install whatsapp ya kawaida kisha install whatsapp+ kwenye page ya chat bonyeza menu utaona sehemu ya kuhide.

ukishindwa rudi utafuniwe

chief kazini.umemaliza kila kitu yangu hata cna la kuongeza.
 
Inabidi ulipie dola 3.49 baada ya kushusha whatsapp+
 
kama ulisoma vizuri juu niliandika whatsap+ unlocked yani ipo hivi

1. whatsapp katengeneza app
2. whatsapp+ kamchakachua whatsapp sema kwa hela
3. whatsapp+ unlocked ni whatsapp+ na yeye kachakachuliwa ili iwe bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom