donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Anyone selling his used stuff?
unataka kutumia kwa nini? kuna simu hazina hspa wala hdspa ila zina wcdma tupu ni 3g nazo ila speed ikikolea ndio 40kbps hivyo angalia hasa nokia ambazo ni s40
Ni kwaajili ya browsing tu kaka. My side kick (nokia tochi) imeharibika ndio am in quest ya kwena kutafuta nyingine kesho, so with my limited badget naangalia kama naweza kupata a nice phone kwa hiyo price. Kwenye inauzwa.com nimeona n73 iko inauzwa kwa 80k ila kama I may get a better deal itakua poa sana!
tafta e series kaka kule niliona anaeuza e52. e series ni model za wafanyabiashara ni ngumu kufa kuliko n series na zipo kikaz zaidi
Kwa price gani kaka?
update za store
e72 kwa 125
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/550304-nokia-e72-inauzwa-for-sale.html#post7765556
nokia 6700 kwa elf 70
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/549561-nauza-nokia-6700-classic.html#post7760355
hio ya e52 sijaiona.