Msaada: VHS kuwa VCD

Msaada: VHS kuwa VCD

FASHIST

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
246
Reaction score
81
Habarin za kwenu wana jamvi!! naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa kubadilisha VHS kuwa VCD, na kama inawezekana ni wapi hapa dar naweza nikapata hiyo huduma ...........
 
Ndugu yangu mbona hio kazi rahisi mno kuliko hata kunywa maji,nenda pale mitaa ya kariakoo sikumbuki vzr mtaa lkn ulizia kwa wenye Library zinazofanya Aditing za video watakufanyia,pia pale jirani na msikiti wa mtoro wapo wataalam pale.
 
Hata wewe mwenyewe unaweza kuifanya hiyo kazi kama una tv capture au easy cap ktk pc yako.
 
thanx mkuu!" nimekusoma. inaweza ika ina range kw shilingi ngap hiv?!
 
Hata wewe mwenyewe unaweza kuifanya hiyo kazi kama una tv capture au easy cap ktk pc yako.

dah! mi cyo mkali sana kwnye computer, mi najua tu ku2mia computer.
 
Back
Top Bottom