Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Salam wakuu, laptop yangu juzi ilicorupt ikabd ninunue low-end lap nyingine (toshiba satellite c660-15N). Iko fresh kimtndo, tatizo ni pale napo download HD movies (1080p blueray), ukiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello.Kama kuna fundi anaeweza kunirekebishia hasa kufanya replacement screen ya Samsung Galaxy S3 Mini imepata crack(Sio LCD Screen) naomba aniPM au 0752385949.
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Mtu mmoja amehack akaunti ya muanzilishi wa mtandao wa kijamii mkubwa kuliko yote duniani ili tu amwoneshe bug aliyoigundua baada ya kuwatumia barua pepe mainjinia wa facebook na kumpotezea, baada...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
habari wakuu nlikuwa napitia mitandao ya kununua vitu online(ebay) sasa nikakuta vitu ni bei rahisi ajabu ,,sasa nilikwa nauliza hivi apo bandarini wana charge shilling ngap kukitoa kitu chako...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi natumia huawei u8185 ascend y100 lakini tatizo ni kwamba imegoma kusomeka kwenye pc kila nikijalibu kuplug kwa pc. Pc inasema usb device not recognized naomba msaada wenu ili niweze kuinstall...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
heshima zenu wana jf ninayo laptop ya dell ins 6000 hdd 60 gb ram 512mb ya kizamani kidogo hdd yake inaonyesha imekufa imekufa na niko mikoani,baada ya ku google inaonyesha max hdd capacity kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu! kuna taarifa kuwa kuna baadhi ya vifaa ukivinunua nje ya nchi huwa havina kodi. Pia kuna baadhi ya vitu hupokelewa POSTA na siyo Bandarini, naomba kujuzwa baadhi ya vitu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wana Tech,kichwa cha habari hapo juu sijakiweka kama swali mtani wia radhi,nilitaka kujua endapo mtu akiamua kusoma maybe certification ya CCNA(CISCO) ,Concept in programming,orWeb...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Hello JF wataalamu! Naomba kuelezewa kadri unavyofahamu kuhusu HACKING kwakuzingatia moja ya guidelines hizi hapa chini -Maana -How to hack naomba kuwasilisha
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wataalam. naomba kujua kama tecno 756 inaweza kuwa na access za whatsapp! na kama inaweza niipate vip kwenye sim yangu?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Taipata wapi hiyo movie ni download coz nimeenda youtube zipo trailer tu,full iliyopo sio yenyewe! Msaada jamani.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
ni Huawei inatumia laini moja ya zantel, sasa nifanyeje niweze kutumia laini zote? Model:s7-301u Help please.
0 Reactions
0 Replies
866 Views
nimejaribu kugoogle naona sipati majibu stahiki, kwa mwenye ufahamu naomba anipe mwongozo 1.What is the mechanism of digitized sound? 2. how does the computer reconstruct sound wave from a sample...
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Wanajamvi, Ninamba msaada. Hizi simu zina stack sana! Sometimes unakuwa unafanya kazi na imagoma. Zote zine external SD card zenye GB16 Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Helloi JF wataalamu! Naomba kuelezewa kadri unavyofahamu kuhusu HACKING kwakuzingatia moja ya guidlines hizi hapa chini -Maana -How to hack naomba kuwasilisha
0 Reactions
0 Replies
752 Views
habari zenu wanajamii mi mgene wenu
0 Reactions
1 Replies
583 Views
Wataalam, nawezaje ku block unwanted calls kutoka kwa mtu ambae analeta usumbufu kwenye simu niliyoitaja hapa juu. Yaani nataka akipiga isomeke sipo hewani!! Maana ni kero sasa. Naomba msaada na...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Nilikuwa naomba kama kuna mtu yeyote ambaye anaweza kuinstall VPN service Kama PD, Meteor etc anisaidie kunipa steps natanguliza shukrani
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari Hivi hapa ni sehemu gani kuna gereji za malori makubwa na mabasi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wanaJF nina Samsung duos mini je application gani nzur kwa kudownload au kuangalia movie
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Back
Top Bottom