Hawajaweka kiwango, cha kuchangia,habari wadau!
Ni malipo kiasi gani yanatakiwa ili kuweza kutazama tv online baada ya kuinstall player kutoka tv4africa jinsi
malipo yanavyolipwa.
Ila swala kama ni online TV basi ushindwe wewe , Link hizi hapa zilishawahi wekwa hapa jukwaani kwa nyakati tofauti:please clik here to donate you will receive your login data immediatly after the donation