GET ALL NEWEST SONGS. Bongoflava na za Mbele Kibao

GET ALL NEWEST SONGS. Bongoflava na za Mbele Kibao

raisi

Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
42
Reaction score
13
Habari zenu wadau... nimetengeneza search engine ndogo kwa ajili ya nyimbo za kibongo na za kimataifa... naombeni ushauri wenu kipi niweke na wapip nimekosea bofya hapa kuiona hiyo website... tunajaribu tu wadau...
Thanks in advance.
 
Habari zenu wadau... nimetengeneza search engine ndogo kwa ajili ya nyimbo za kibongo na za kimataifa... naombeni ushauri wenu kipi ....
... tunajaribu tu wadau...
Thanks in advance.

Weka na nyimbo za zamani (zilipendwa)
 
aisee mbona quality ndogo jamaa...nlitegemea kukuta nyimbo zenye mb 4 nakuendelea..
 
Mkuu weka in alphabetical order na pia weka mafungu mfano: nyimbo ingizo jipya, zamani, n.k. ili iwe rahisi kutafuta
 
Mkuu naomba weka nyimbo nyingi za bongo za kuanzia mwanzoni wa miaka ya 2000
 
nzuri. Nimedownload wimbo. Lakini jaribu kuweka opt za quality sababu almost zina quality ndogo. Ila kazi nzuri, hongera.
 
Iko very simple to use,easy to download sema nna waswas na quality ya hizi nyimbo cz zote file size ni ndogo sana ukilinganisha na original ones.
 
jaman hawa jamaa xtgem, anao tumia ku host site wana limitation yan upload file lisizid 2MB
sasa mnapo mwambia aongeze ubora mana yake mpaka awe premium hosting.
Ambapo ita mcost
 
www.muziki.net ni web yenye nyimbo zote za bongo, kuanzia zilipendwa hadi sasa. Period

hahahaaaa muziki.net ni website ya kawaida sana RAHATZ.COM ni crawler. Nime crawl website sio chini ya 1600 duniani ikiwemo na muziki.net . Zaidi ya download links milioni kumi za MP3 zimo ndani ya rahatz.com.
 
Nyimbo zangu usijejaribu kuweka aseee! Nitakupiga RUMBINDE ohoooo!


usihofu mzee tunavyoweka tunasoma copyrights pia katika sheria za kimataifa inaruhusiwa kufanya tunavyofanya mkuu...//
 
Back
Top Bottom